Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,344
- 13,073
Ndugu Mheshimiwa Rais wetu katika kipaji ambacho Mungu amemjalia ni uwezo mkubwa na ujasiri wa kuainisha tatizo na kuliongelea bila kung'ata maneno. Kupitia njia hii imemsaidia kumpatia mashabiki lukuki kabla na baada ya kua rais.
Kuna issue ya ufisadi alionyesha ujasiri kuiongelea, mikataba mibovu, vyeti feki na watumishi hewa, nidhamu makazini, watu kuendekeza siasa badala ya kazi, haja ya kua na ndege zetu, na miradi mikubwa ya kimaendeleo. Yote haya yalikua ni matatizo ndani ya jamii za Watanzania na akiongelea kila mwananchi ana afiki.
Tatizo linaanzia hapa sasa, kwenye kutatua hayo matatizo solutions zake unachoka kabisa. Solutions hewa kabisa na akijaribu kutatua pitia hizo njia zake matokeo yanakuwa mabovu au kutokuleta matokeo yenye kuridhisha.