nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
It is a sad story ambayo itasimuliwa vizazi na vizazi. Mojawapo ya sifa kubwa ya serikali ya wamu ya tano iliyotikisa dunia ni jinsi ilivyoweza kujenga viwanda vikubwa 4000 ndani ya miaka 4 habari hii pia iliungurumishwa na Profesa Kabudi kwenye United nations general assembly alipokuwa akifafanua mafanikio ya awamu ya tano
Ila sasa sukari jameni, maviwanda yote hayo yameshindwa hadi tunaagiza Malawi? au inakuja via Malawi kama transit? viwanda 4000 vimeshindwa tena kila mkoa uliagiza ujenge viwanda 100 nakumbuka RC mchapakazi mzalendo wa Manyara alitoa amri na Ultimatum kwa wakuu wa wilaya kwamba wajenge viwanda kwenye wilaya zao na waziri Jaffo alisistiza hilo
Hatua kali zichukuliwe kwa wasimamizi na mabosi wa hivyo viwanda katika 4000 hatukosi hata kumi vya sukari.