Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji muhimu na ya kuvutia sana Afrika nzima

Mimi ninachokijua ni kwamba Dar es Salaam ni kati ya majiji yanayokua kwa kasi barani Afrika na kwa mujibu wa IMF mpaka 2020 mwanzoni Dar es Salaam ilikuwa na wakazi milioni 6 na mpaka 2021 (kwa mujibu wa Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais) Dar es Salaam itakuwa na wakazi milioni 8 kitu ambacho ni mtaji mkubwa kwa maendeleo ya mkoa na taifa
 
Majiji ya Switzerland, Denmark, Sweden, Norway na hata Botswana na Namibia ni madogo na yenye wakaazi wachache lkn yameendelea sana.

Lakini angalia majiji yenye watu wengi kama New York, Delhi, Mumbai, Karachi, Lagos, Manila nk yenye watu wengi yalivyo. Hivyo wingi wa wakaazi kwenye jiji sio hoja kabisa.
 
kwa hiyo mkuu kwa vigezo vyako wewe,new York haijaendelea?
 
Luanda - Angola inavutia sana, na unaonekana ni msafi. Dar Es Salaam video kwa juu unaona magorofa mazuri kweli, kasheshe camera iliposhushwa chini huwezi amini barabara zote pembeni inonekana miavuli ya wamachinga na parking ya bajaji mwanzo mwisho, barabara zimejaa michanga.

Dar ni jiji zuri, ila ni mchafu na unakosa mpangilio wa shughuli za kila siku - nini kifanyike wapi na kwa maeneo gani, unakuta kituo cha daladala chote kimejaa wamachinga, abiria wanasimama pembeni ya barabara.
 
Umesema kila kitu mkuu! Hii ya kusema “”waacheni wafanye biashara popote walinipigia kura”” imeharibu kabisa uzuri wa Dar es salaam
 
samahani mleta Mada ana Malaria jamani. yaani Maseru hkna, Manzini, Gaborone heee! Adzou? bara bara ni za vioo vigumu! wana mvua tamu za manyunyu za kutengeneza!
 
Back
Top Bottom