technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,697
- 58,744
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Daraja sarendar bridge Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.