magazeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Vichwa vya habari vya magazeti yetu vinaanza kubadilika

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo yanayoliondoa Taifa kwenye kutumia mabavu na kujielekeza kwenye kutumia akili katika ukusanyaji kodi bila kuathiri walipakodi. Mbali na hivyo, Nape alisema pia Rais Samia ameonyesha nia ya kuliongoza...
  2. J

    Kanuni za maadili kwa wapiga picha za magazeti

    Muongozo uliotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu kanuni za maadili kwa wanataaluma wa habari zinaeleza kanuni za maadili kwa Mpiga picha za magazeti kama ifuatavyo:- Wapiga picha wa magazeti wanatakiwa kutoa picha zinazoonesha usahihi wa hali ya tukio husika. Wawe makini wakati...
  3. Roving Journalist

    Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
  4. Kichuguu

    Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

    Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali. Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
  5. K

    Kampuni ya globalpublishers kusimamisha uzalishaji wa magazeti Januari 2021

    Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee. Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima...
  6. Erythrocyte

    Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

    Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara. ======== NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
  7. Bushmamy

    Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

    Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk. Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
  8. OLS

    Ulimwengu wa digitali ni changamoto kwa magazeti

    Miaka kadhaa iliyopita kabla ya kuja kwenye digitali watu walilazimika kununua magazeti kwa sababu nyingi tofauti tofauti, jambo kubwa halikuwa kupata habari kujua yanayoendelea pekee Sababu za kununua magazeti Kwanza ilikuwa kuhabarisha lakini pia kujua matangazo ya serikali kama zabuni au...
  9. D

    GE2020 Sasa tuwasute wahariri wa magazeti ya Kitanzania

    Magufuli akiwa na kampeni wanachapisha picha kubwa ya kampeni zake kwa juu kisha chini wanaweka vipicha vidogo vya wapinzani. Magufuli akipumzika kampeni hawaweki picha ya mgombea anayetoa upinzani mkubwa kwake wala habari zake hazipewi kabisa kipaumbele. Nyie wahariri, jana na leo Tundu Lissu...
  10. J

    GE2020 Mwana-CHADEMA aliyeshiriki vurugu zilizosababisha mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti atubu mbele ya Mama Samia!

    Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti. Kijana huyo ambaye alikuwa anaongea mbele ya makamu wa Rais...
  11. matunduizi

    GE2020 Magazeti yanatumia hekima gani kuandika Habari katika kipindi hiki cha Uchaguzi?

    Nimepita juzi kwenye Meza ya magazeti nikastaajabu kidogo. Habari kuu za magazeti yote ni za Mgombea wa CCM. Rangi ya kijani imetapakaa Meza nzima yani kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni Meza ya muuza mbogamboga. Nikajiuliza mbona twitter na JF Mpambano ni kama umebalance hivi japo...
  12. A

    Habari Leo na Daily News ni magazeti binafsi ya CCM?

    Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
  13. Return Of Undertaker

    TCRA, inakuwaje magazeti ya Uhuru na Jamvi la Habari hayajafungiwa kwa kuripoti habari sawa na Clouds Media?

    Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udhalimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzani.
  14. Kipapatiro

    GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  15. I AM NO ONE

    Nataka nifanye biashara ya magazeti kisasa, faida yake ikoje?

    Habari wakuu, napenda kujua hii biashara ya magezeti inafanyikaje na faida yake ipoje nataka niifanye kisasa zaidi.
  16. D

    Kumbe dawa ya magazeti ya udaku ni Ukuda. Kwa mara ya kwanza hawakuweka udaku juu ya msiba wa Mkapa. Pongezi Mwakyembe

    Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye misiba ya watu mashuhuri! Ingekuwa zamani msiba wa mkapa usingeisha salama bila habari za magazeti...
  17. G

    Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

    Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee. Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au? === Maoni ya Wachangiaji
  18. M

    Inakuaje magazeti haya yanakuwa na kichwa cha habari kinachofanana?

    Magazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?
  19. Kawe Alumni

    Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  20. Analogia Malenga

    Mhariri wa magazeti ya Serikali akamtwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa

Back
Top Bottom