magazeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

    Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani. Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu? 7
  2. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

    Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA" Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga. Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MISA-Tanzania yatoa tamko kuhusu kufunguliwa kwa magazeti manne

    10 Februari 2022 TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi nchini kwa miaka kadhaa sasa. Magazeti hayo binafsi ambayo leo yamepewa leseni na serikali kuanza...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa magazeti redioni kurasa ndani ufunguliwe. Wananchi wa vijijini nao wana haki ya kupata habari

    Uhuru wa kupata Habari ni chakula muhimu ambacho kila mtu huiitaji kushiba, awamu iliyopita usomaji wa magazeti redioni katika kurasa za ndani ulifungiwa bila maelezo ya msingi. Kufungiwa habari za ndani za magazeti kupitia redio wengi wa walioathirika ni wananchi wa vijijini ambao ni ngumu...
  6. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya kesho tarehe 08.01.2022

    Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

    Kufatia sakata linaloendelea sasa nchini, hebu tabiri vichwa vya habari katika magazeti ya kesho
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Redio na Runinga Tanzania wanapenda kuishi 'Fake Life' tofauti na wale 'Wagumu Asilia' wa Magazeti?

    Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nauza magazeti kutoka korea

    Habari wakuu nina tani 9 za magazeti kutoka korea nauza kwa kg1 ni 1800 location ni Mnazi Mmoja Dar es salaam namba ya simu 0769115998 kwa maelezo zaidi
  12. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Kama una magazeti used mengi ninanunua

    Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH. Hata kama una kilo 1000 niambie nitanunua zote, hata ukiwa na tan 10 za gazeti ninanunua kwa kilo shilingi elfu moja...
  13. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomaji wengi wa Magazeti Tanzania wanazingatia habari za michezo pekee?

    Nipo sehemu nimekaa kuna idadi kubwa kidogo ya watu, nilichokigundua ni kwamba asilimia 98 wanaosoma magazeti wanapitia habari za michezo na burudani. Hili linanipa maswali kidogo kwa nini ipo hivi? Je, hii inawezekana watu wamepoteza focus katika mambo mengine, au magazeti hayana tashwishi...
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Magazetini Leo

  15. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi makanjanja ya magazeti/tv/redio yanavowapa raha Wanayanga

    Amini usiamini hiki ni kile kipindi ambacho makanjanja ya redio/tv na magazeti huwa yanawawapa raha za kufa mtu wana jangwani, raha huongezeka pia pale MITAMBO YA MAGOLI inaposhuka airport na kupokelewa kwa mbwembwe na misafara ya magari hadi mitaa ya twiga na jangwani Kuna hali ya furaha sana...
  16. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Vipaumbele vya habari katika Magazeti ya Kiingereza na Kiswahili

    Haya ni magazeti kutoka kampuni moja yaliyotoka leo June 16th. Lakini vipaumbele vya habari vimetofautiana sana. Habari kuu kwenye kiswahili[Mwananchi], ni Kesi ya Sabaya [Siasa] huku kwenye la kiingereza [The citizen] ni habari ya Usafirishaji (Biashara & Uchumi), huku habari ya Sabaya ikiwa...
  17. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Magazeti

    Wakuu habari za Leo. Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara. Namba yangu 0718378427
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kufungulia magazeti kwa sababu mengi yanamilikiwa na Wapinzani

    Kati Jambo lisilotakiwa na ccm nikuruhusu watu wapate taarifa sahihi. Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ni mwiba kwa CCM na kufunguliwa kwayo ni kuruhusu magazeti ya Tanzanite na Uhuru yakose soko. Bado tuna safari ndefu ya Uhuru wa habari Tanzanjia na alichokiktataa Rais Jana kwamba...
Back
Top Bottom