Ndugu zangu,
Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo.
Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC.
Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika.
Suluhisho amelindika Askofu mwamakula
Nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
Pia soma:
UTPC yalaani kauli ya Dkt. Slaa inayodharirisha waandishi wa habari, yataka aombe radhi
Balozi Dkt...
Leo nimeshtushwa na magazeti haya mawili katika kurasa zao za mbele kubwa na vichwa vya habari vinavyofanana.
Kumekuwepo na tetesi kwamba serikali imekuwa ikiyapangia magazeti habari za kuandika.
Kati ya magazeti ambayo yalikuwa yamebaki na uhuru kidogo ni haya ya Mwananchi Communication...
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni
Erythrocyte
Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho.
Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao
Endelea na wewe kutiririka
"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi...
Haya ndugu zangu wapambanaji.
Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.
Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
Aiseee zile gari acha kabisa
Yani kabla hujakaa tayari upo Kibaha mana Dar - Moro ni lisaa tu 😂😂😂😂
Kupanda zile gari inahitaji uwe na roho ya paka 😆😆😆
Sishauri kabisa wanawake kupanda zile gari mana sisi wanaume tu tunapanda kwa dharura
Embu tupe uzoefu wako mara ya kwanza kupanda zile gari...
Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa.
Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa.
Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k.
Amini na...
Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022.
Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times yameendelea kuongoza katika nafasi ya kwanza na ya pili kwa kuuza nakala nyingi lakini bado takwimu...
Ni dhahiri kabisa kuwa kuja kwa teknolojia hakujaiacha salama sekta ya uchapishaji wa Magazeti, maana kwa sasa ni rahisi kwa mtu kupata taarifa papohapo tofauti na miaka ya nyuma.
Pamoja na changamoto hii yote lakini bado wapo watu wanaoamini na wanapenda kusoma Magazeti. Kama si Mgeni basi...
Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii
Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
Tafadhali Wahariri wa Magazeti ya HabariLeo na UHURU ( ambao najua mpo hapa JamiiForums ) hebu tuwekeeni hapa Sauti ya Rais Samia ya jana ( Mei Mosi ) akisema kuwa amepandisha rasmi Mishahara kama ambavyo mmeripoti ( mmeandika ) leo katika Vichwa vyenu vya Habari.
Kwa Upuuzi na Ujuha ( Uzuzu )...
"Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
KURASA DARASA TBC1: UCHAMBUZI WA MAGAZETI, MAJARIDA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Leo nilikuwa na matembezi ndani ya mitaa na vichochoro vya Maktaba nikimzungusha Mtangazaji wa kipindi cha ''Kurasa Darasa,'' Bi. Maureen Minanago.
Bi. Maureen alitaka kujua sababu za mimi kuhifadhi baadhi ya...
hakuna shaka na itabaki kuwa hivyo. baada ya Mwalimu Nyerere alietusaidia kuupata uhuru wa Tanganyika, Dr. John Joseph Pombe Magufuli anabaki kuwa Rais bora wa wakati wote.
kizuri hakikosi kasoro. agenda yake ya kutaka kufuta upinzani haikuwa nzuri na hilo nilimpinga waziwazi kwa kumnyima kura...
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.