magari

  1. Baadhi ya watu mnaofanya Computer diagnosis kwenye magari mnawamislead wateja wenu na kuwaingiza gharama zisizo za lazima

    Baadhi ya watu wamekuwa wakifanya OBD2 diagnosis kwenye magari. Ni kitu kizuri na kwa upande fulani kinaweza kurahisisha kutatua tatizo la gari husika hasa ukizingatia kwamba tatizo moja la gari linaweza kuwa na possible causes hata 10. Tools zinazotumika kufanya diagnosis zipo za aina nyingi...
  2. Tundu Lissu hajatimiza ahadi aliyoahidi chamani ya $234,757 na magari 500. Wadhamini wake wamemkimbia

    Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni...
  3. Madereva wa Kenya waomba Serikali yao kuingilia kati kumaliza mgogoro na Tanzania

    Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard] Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
  4. Biashara ya kuagizia watu magari

    Wakuu wenye uzoefu na ambao mko ndani ya hii biashara naombeni insights za jinsi ambavyo mna handle clients kuanzia step ya kuwalipisha pesa hadi mnapomaliza biashara husika. Kikubwa nataka kujua nini kinaendelea baada ya kumpata mteja, ni kwamba ana deposit hela kwenye acc. ya kampuni kwanza...
  5. Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Nina kagari Toyota IST ambako kana namba CYZ jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake na jamaa ni mbahili pia.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap awe anaendea salon na sokoni.baadaye akaja akawa anataka Crown "Toyota" so haka kakabaki hakana kazi. Kiukweli gari ipo...
  6. TANROAD Dar mtalipa uhai wa Watu na magari kwa uzembe huu? Au Rushwa imewatoboa macho hamuoni?

    Habari wana jukwaa, Nimeanza na kichwa hapo. leo ni siku ya 4 mkandarasi amekata rami barabara ya Old Bagamoyo Road ili kufanya marekebisho lakini mashimo yalikatwa mengi na makubwa na yana sharp edge, na hakuna tahadhari au onyo yoyote iliyowekwa kuwa kuna ujenzi unaendelea. Juzi usiku kuna...
  7. Wajapan ubunifu umepungua au kwanini magari haya yanafanana hivi?

    ALLEV vsRUN X HIMO vs COASTER VAUGUARD vs RAV4 Baadhi ya magani ya Mjapan yanatumia injini aina moja kwa magari tofauti Mfano injini ya 1G FE unaikuta kwenye:- GX100 GX110 VEROSA ALTEZA
  8. S

    Hivi mashindano ya magari Rally jamaa huwa wamesaini kufa au kupona?

    Maana nilikuwa naangalia hapa mbio hizo za magari huko Ulaya yaliyofanyika 2016, 2018 ni hatari yaani.
  9. Ni kwanini pamoja na ujio wa Magari mengi na mapya duniani lakini Gari za Mercedes Benz, Rolls Royce, Porsche na Lamborghini zitaheshimika Milele?

    Leo hii sijui Mzukulu nimekumbwa na nini yaani similiki hata Baiskeli au Guta lakini nayazungumzia Magari ambayo sina hata Ubavu wa Kuyamiliki. Lamborghin Mercedes Benz Porsche Rolls Royce
  10. Msaada: Wataalamu wa Magari Emergency tafadhali

    Wakuu mambo vipi? Natumia BMW E90 2007 (3 Series) sasa nikiwa mjini uwa najaza unleaded ya Total au Puma. Sasa nipo njiani na nilipo sahivi usiku huu hakuna kituo cha karibu cha Puma wala Total. Je, nijaze Petroli yoyote kwa leo tu hakuna tatizo linaloweza jitokeza? Nakutana na pump za...
  11. Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
  12. Uagizaji magari used Be foward

    Wakuu habari ningependa kufahamu uzoefu kidogo juu ya uagizaji magari used kWA kutumia mtandao wa be foward. 1. Huwa uinachukua mda gani toka ulipoagiza gari na mpaka unalipata? 2. Unaweza kujua mpaka kodi ya TRA+ gharama za TPA kabla ya kuwalipa pesa ya gari mtandaoni? 3. Kuna usumbufu gani...
  13. Uzoefu na Matumizi ya Additives za Kwenye Magari

    Wakuu, Kwanza Eid Mubarak! Naomba kujifunza kutoka kwenu Wakuu kuhusu additives za kuweka kwenye engine au gear box kwenye gari. Kwenye kausafiri kangu, naona kitu kama leakage kwa mbali kwenye gear box. Hivi kuna ukweli kuwa nikiweka additive itazuia hiyo leakage? Sipendagi sana kufungua...
  14. Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
  15. Polisi yakamata magari 6, ofisa usalama ‘feki’

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Shaban Wisandala (32), mkazi wa Medeli jijini Dodoma, kwa kujifanya ofisa usalama wa taifa, pamoja na magari sita yaliyokamatwa kutokana na kusadikiwa kuwa ni ya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma...
  16. Magari 1,000 yakwama mpaka wa Tunduma

    Ikiwa ni siku ya pili tangu serikali ya Zambia kufunga mpaka, shughuli zote za mpakani zimesimama, hali iliyosababisha magari yaliyobeba mizigo kama chakula na mafuta kukwama kuendelea na safari. Brigedia Jeneral Nicodemas Mwangela, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, jana alifika katika mpaka huo uliopo...
  17. Uganda: Madereva wa magari ya mizigo kupata majibu ya covid 19 ndani ya dk 45

    Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na ongezeko la maambukizi kutoka kwa madereva wa magari ya mizigo Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda...
  18. S

    Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  19. Amri itoke magari yatumie gesi

    Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta. Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol? Tunaweza kuanza na...
  20. Mbona Magari ya wagonjwa yamekuwa mengi usiku siku hizi?

    Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh. Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje. Hii Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…