Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM.
Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa.
Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ.
Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
Nawasalimu members wote,
Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin.
Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao.
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache.
Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache
Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo...
Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa.
Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo.
Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake.
Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima.
Chanzo: Upendo TV
Maendeleo hayana...
Wakati serekali ikikazana kuongeza kodi kwenye magari mtumba(used) kwa kigezo za kulinda mazingira imeonyesha kutokua na ufanisi wowote.
Kodi imeongezwa ili wananchi waache kununua magari yaliyotengenezwa miaka mingi na kununua ya miaka ya karibuni ili kulinda maizingira. Je, idadi ya magari...
Kwa kweli moja ya vitu ambavyo ni kero kwenye jiji la Dar es Salaam na Manispaa zake ni hawa wafagizi wa barabara ambao kwa kweli hawafanyi kazi kwa ukamilifu kwa kuwa barabara nyingi bado ni chafu sana zikiwa zimejaa michanga na vumbi.
Hii inatokana na ukweli kwamba haiwezekani manpower...
Vitakua kote nchini....
The Kenya Power company, popularly known by its NSE ticker KPLC, has opened three charging stations in Nairobi and will be setting on a nationwide project installing other charging points along major highways, parking lots and malls.
The three charging stations in...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus.
Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V.
Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumia viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA.
Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahimizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi...
HABARI YA MAJUKUMU?
KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.
VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
bei nafuu
benz
biashara
bmw
gari
harrier
inauzwa
injini
japan
karibu
kuagiza
kuagiza gari
land rover
magari
majibu
manual
mayai
mbeya
mitsubishi
nissan
picha
siku
soko
subaru
toyota
usafiri
ushuru
viti
vitz
volvo
waagizaji
wazi
xtrail
Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini.
Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha vitu vitatu. Na bahati nzuri, huhitaji kuwa mtaalam wa magari kuzitengeneza.
1. Betri Iliyokwisha...
MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili.
======
WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
Sitaki kujikita kwenye chanzo au sababu ya ajali, nataka hoja yangu niijenge kwenye msingi mmoja tu, USALAMA WA MAGARI WAYATUMIAYO VIONGOZI WETU.
Usalama wa chombo cha kusafiria hujumuisha mambo mengi, magurudumu, mifumo ya breki, injini, nk.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yametuletea...
Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari.
Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi .
Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari .
Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma...
Nmeona gari nyingi sana zikepigwa misumali flani hivi ya silver milangoni,madirishani na sehemu mbalimbali za gari. Sijaelewa huu ni urembo wa aina gani. Nmeuliza nimeambiwa mnaita "libiti"
Pia hata wengine wanachora chora namba kwenye vioo.najiuliza why uharibu gari kwa vitu vya hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.