magari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, msamaha wa Rais Magufuli kwa DED wa Kahama umewaponya Wakurugenzi wote walionunua magari ya Tsh 460 milioni?

    Rais Magufuli amesema haya ''Mkurugenzi wa Kahama Mji unafanya kazi kubwa sana, ka kosa kale kadogo kamesamehe dhambi zako zote. Unafanya kazi sana najua unapigwa vita ila wanaokupiga vita kuanzia sasa wakuogope. Nimemsamehe Mkurugenzi huyu, amefanya makubwa! Mkurugenzi hongera Sana. Na hilo...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magari 24,521 yanaswa kwa malimbikizo ya faini barabarani Tanzania

    Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Tanzania, Wilbroad Mutafungwa amesema katika kipindi cha siku tano zilizopita, idadi ya magari 24,521 yamekamatwa kupitia oparesheni ya ukamataji wa magari yenye malimbikizo ya faini zinazotokana na makosa ya barabarani. Akizungumza na wanahabari...
  3. uran

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

    Wakuu imebidi niuize ili nijue. Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari. Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa wizi wa magari wanaswa Njombe

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, 90% ya magari yanayotimika Tanzania yana umri zaidi ya miaka 10

    Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao. Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe

    Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nachohofia TBS ukaguzi wa magari ni mambo ya kutoa kitu kidogo au connections ili gari isikaguliwe miezi au kuambiwa ni bovu uingie gharama

    Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza. Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari. Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli...
  8. J

    JamiiForums Tanzania LATRA yakanusha kuanzisha tozo za magari ya kubeba maiti. Yasema magari madogo yanayokodishwa ndio yatatozwa

    Mamlaka ya usafiri ardhini LATRA imekanusha kuanzisha tozo kwa magari madogo ya kubeba maiti. Mkurugenzi wa usafirishaji Kahatano amesema Serikali haijawahi kufikiria kuanzisha tozo ya namna hiyo bali mabasi madogo yanayokodishwa ndio yatatozwa tozo. Mabasi madogo yenye uwezo wa kubeba abiria...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TBS mnaandaa mazingira ya rushwa ukaguzi wa magari?

    Tangazo la TBS lililotolewa majuzi, ati sasa ukaguzi wa magari used utafanyika hapahapa Bandarini linatia wasiwasi. Huu utaratibu ulikuwepo zamani na uliondolewa kutokana na urasimu wake na uchelewashaji mkubwa wa kukaguliwa mali ya mteja. Tukubali tusikubali palipo na urasimu na ucheleweshaji...
  10. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Elimu ya ulipaji kwenye makapuni ya kuagizia magari

    Bhana we nataka kuagiza gari kutoka beforwad kwa mara ya kwanza, sasa ni hivi kuna kitu kinanichanganya hapa wanapoandika Dar es Salaam+clearing ina maanisha hapo mpaka TRA wanamaliza au hiyo clearing imesimama kwaajil ya nshu gani. Mana kuna dar es salaam bila neno clearing.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri ya kuagiza magari japani

    Mimi leo nitaongelea kamapuni moja tu inaitwa NIKKYO ambayo imenipa huduma nzuri mimi na marafiki zangu. Nimesha agizia marafiki zangu watatu kwa kupitia kampuni hii ya Kijapani ijulikanayo kama NIKKYO www.nikkyocars.com Hii kampuni haina jina kubwa Tanzania ila nilipata recommendation kwa...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaovaa Vibarakoa kwenye magari private siwaelewi

    Naomba nitangaze nia. Mimi moja ya watu ambao niliipinga vikali corona kwa maombi. Sikuwahi kununua wala kuvaa barakoa. Tena wakati watu walipokuwa wanakimbia DSM, Mimi nilipishana nao Singida nikienda hapo hapo DSM. Nilipita pote nilipotaka bila Barakoa. Niliwahi kunusurika kulambwa bakora...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato. Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hili la Manispaa ya Ilala kumiliki magari ya kubebea nyama na kusambaza mabuchani ni kuibana sekta binafsi

    Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana. Nilimsikia Naibu Waziri wa mifugo mh Gekui akiipongeza Manispaa ya Ilala kwa ubunifu huo wa kusafirisha nyama. Ni vema Serikali...
  18. Ack

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  19. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mazuri chini ya milioni 5

    Hii hapa Corolla Bado iko barabarani inafanya kazi vizuri tu. Document zote za umiliki zipo Gearbox clean Engine safi Ipo pugu Dar es salaam Bei 3,500,000 Tshs only Nitafute 0744033555
  20. Sosoma Jr

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Jeshi, Ufundi Magari na Sabato

    Kijana mwenye umri wa miaka kumi aliketi ametulia akisikiliza kwa makini hotuba yake ya kwanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Mhubiri alieleza kuhusu mfanyakazi wa Posta ambaye alipokea barua inayoenda kwa Santa Claus (Babu Krismasi). Kijana mdogo alikuwa ameandika barua kwa Babu...
Back
Top Bottom