magari

  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kagueni magari yenu yakitoka kufanyiwa marekebisho.

    Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine. Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil. Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock absorbers. Impact kubwa inaishia kwenye bodi.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akabidhi magari matatu ya Zimamoto yaliyotengenezwa Tanzania, asema "Inawezekana majirani waje kununua magari Tanzania"

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari. Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa gps tracking kwa ajili ya magari pikipiki na bajaji

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msururu wa magari ya msafara wa Rais wa nchi moja masikini

    Huu ni msafara wa raisi wa nchi ya Equatorial Guinea moja ya nchi masikini Afrika, ambayo ni sawa na mali binafsi ya dictator Nguema wakila matunda ya UHURU huku wananchi wake wakitopea kwenye umasikini.
  5. rubii

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa mahitaji ya diffuser za kwenye magari nyumbani ofisini

    Kuna wateja mlikuwa mnataka Sana hizi diffuser za kwenye gari, zimepatikana CHACHE, please kama unahitaji wahi. TSh 60,000 unapata na essential oil 1 👉🏾Posta Samora DSM Tunafanya delivery Mikoani tunatuma Call/whatsapp#0673485081
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Viongozi acheni kupiga 'Vistoristori' na Madereva wenu ndani ya Magari ili Siri zenu zisisambazwe

    "Katika kutunza Siri za Watumishi wa Serikali niwaase sana nyie Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wengine Serikalini muache Kupiga Vistorivistori mkiwa na Madereva wenu ndani ya Magari yenu ili kuepuka Siri zenu Kuzagaa na Kuaminika kwao hawa Madereva wenu wanawajueni zaidi kwakuwa muda mwingi mko...
  7. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania LATRA angalieni magari ya Usagara - Mwanza Mjini kwenda Kisesa

    Kwa muda sasa imezuka tabia ya baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayofanya ruti ya Usagara kwenda Kisesa, Buswelu, Kisesa, Buzuruga kupitia Mwanza Mjini kupandisha nauli kiholela tofauti na utaratibu unavyoongoza. Kikawaida nauli ya kutoka Usagara kufika Mwanza Mjini aidha unashukia...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

    Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi. Kauli...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari

    Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner. Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au mwenye mawazo zaidi nakaribisha maoni Au nichek hapa 0685875749
  10. P

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Magari

    Uzingatie nini kabla ya kununua used car ya bongo? Kwa nini BMW used zinaonekana bei ndogo ukilinganisha na brand yake? Thanks in advance
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magari mengi ya serikali siku hizi wanaweka tinted kali? Wanaficha nini?

    Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari ya Azam yakiwa na mizigo hayapiti kupima mzani?

    WanaJf, Salaam! Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS. Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito? M. Kabende China
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia sasa kimepitwa na wakati, kijana anatengeneza taa kwa pesa ya supu Tabata

    Mabibi na mabwana, kile kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia eneo la ajali sasa kimepitwa na wakati, kwa sasa ukivunja taa ya V8 wewe simama ongea tu na mwenye gari kisha mpeleke Tabata Sanene kwenye kiwanda cha kutengeneza taa, badala ya kutumia milioni 4 kununua taa moja, sasa utatumia...
  16. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

    Labda kwa kuanza nieleze kisa kilichomkuta jamaa yangu. Jamaa ana Subaru Forester 2006 2.0L Usiku wa kuamkia 9 january 2023 zilinyesha sana mvua na kuna maeneo mjini yalijaa maji, sasa bahati mbaya wakati anaenda mishemishe kuna mahali alifika maji yakawa mengi. Katika kupita maji yakawa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

    Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri (Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  19. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya KKKT wanauza magari waliyomnyang'anya Askofu Mwaikali Dayosisi ya konde

Back
Top Bottom