magari

  1. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

    Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza. Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure...
  2. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Fundi magari anaitwa Dr.Toyota anajua kweli au mbabaishaji tu?

    Naona post zake Insta akitoa maelezo kuhusu service za magari,anatoa darasa zuri sana kupitia video clip zake,hasa kwenye kuibiwa masega anayemfahamu kwa undani pliz ni fundi mzuri kwa vitendo au janja janja?
  3. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa magari

    Habari za January wakuu? Natafuta Toyota Crown; Majesta, Athlete or Royal Saloon....njooni na prices Natanguliza Shukrani
  4. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Jamani mjitahidi sana kutunza magari yenu

    Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno. Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, magari, pikipiki, boat na nyumba zataifishwa

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM-TANZANIA Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania LATRA acheni kuwaonea wafanyabiashara wa magari ya abiria

    Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima. Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Magari ya Mbagala ni kama magari ya vita

  8. Fund man

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi namba mpya za magari

    Nipo halmashauri moja hapa nchini,nimekuta Kuna Gari Lina kibao chekundu namba za njano.namba zinaanza na ZT XXXX.Naomba kujuzwa maana yake.
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

    Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch. Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625. Kwa lugha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro ubovu wa miundombinu, MSD waeleza "dawa zinabebwa kichwani kuvuka mto", magari hayafiki

    Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro.... Source : Millard ayo Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fikra za kimasikini kutumia pesa hivi kwa magari!

    Yaani pamoja na kuwa na magari ya bei rahisi kuna sababu gani ya serikali kutumia pesa yote hii kwenye magari?
  12. Ibrahim augustine

    JamiiForums Tanzania Je unauza au kukodisha Gari na umekosa wateja Tumia njia hii ni bure

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile. sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JNIA yakiri kuishiwa kadi za kuingia na kutoka magari

    Uongozi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) umetoa ufafanuzi wa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa maegesho ya magari katika jengo la tatu la abiria na kusababisha msongamano wa magari katika uwanja huo. Kaimu Mkurugenzi wa JNIA, Mhandisi Rehema Myeye changamoto hiyo...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Algeria yazuia kuingiza magari ya Dizeli

    Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira. Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari Milioni 6.5 yaliyosajiliwa nchini humo. Mwaka 2019 za Benki ya Dunia ilitoa takwimu zilizoonesha...
  15. instagram

    JamiiForums Tanzania Tanzania iwekeze pesa nyingi kwenye waokoaji kuliko magari ya viongozi

    Afrika ili tuonekane tuna akili inabidi ifike wakati tuweke pesa kwenye "emergency responders" zaidi kuliko kuwekeza mabilioni kununua magari ya kukaa viongozi moja moja badala yake tuwekeze kwenye kuokoa raia kwenye majanga. Ajali ya precision imetuonyesha kuwa kama nchi tuko nyuma sana kwenye...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wakati abiria wa ajali za ndege wanalipwa mabilioni, Serikali iangalie abiria wa ajali za magari

    Kwanza nawapa pole wote walioathirika na ajali ya ndege na Precision Air kule Bukoba, pia napongeza walichofanya wale wavuvi katika uokoaji . Lakini moja ya kitu ambacho kimenishangaza ni jinsi viongozi wa kisiasa walivyoikomalia suala hili katika sura nyingine ya bima. Naelewa ajali za ndege...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu pakiti ya sigara = sigara 20 bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200 box moja...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna magari ya moja kwa moja kutoka Dar - Kisumu, Kenya

    Habari ndugu zangu nauliza gari gani nzuri kutoka dar kwenda kisumu na bei yake au kama mtu anaexperience na safari ya namna hii naomba anielekekeze.
  20. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania TPA yaruhusu rasmi magari kuhifadhiwa kwenye bandari kavu (ICDV) kupunguza msongamano

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi. Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya...
Back
Top Bottom