magari

  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya KKKT wanauza magari waliyomnyang'anya Askofu Mwaikali Dayosisi ya konde

  3. Moha Mfinanga

    JamiiForums Tanzania Fursa Ya Ajira kwenye Magari makubwa ya Mikoani na nje ya nchi

    Mwenye fursa naomba tupeane connection
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  5. system hacker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Mafundi wazuri wa magari jijini DSM na Mikoani

    Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi. Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
  6. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari wa sasa hayatumii hydraulic?

    Nimeona Toyota Rush model 2021 haitumii hydraulic kama power steering oil na transmission oil, je zinatumia technology gani?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar insurance mjitafakari sana, nimetokea kuwachukia mno!

    Moja kwa moja niende kwenye hoja kuu Na bila kupepesa maneno nalitaja kabisa shirika husika...ZANZIBAR INSURANCE ni zaidi ya wasumbusu Tena nadiriki kabisa kuwaita matapeli wakubwa msiojua thamani ya mteja wenu Sasa ni nini maana au faida ya kuikatia gari bima ya Comprehensive? Yaaan nipate...
  8. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mafundi Magari wa Kibongo hufanikiwa kujiinua kwa Promo halafu ukiwapatia kazi wanajiua kwenye kazi ya kwanza tu

    Mafundi garage wa kitanzania wana mchango mkubwa sana katika kuyatia ubovu magari ya watu. Mafundi hawa ni wazuri sana kwenye kujipigia promo na kuwaharibia waliofanya uwekezaji mkubwa. Utakuta fundi anawachambua yale magereji makubwa yakiwemo ya wachina na wakorea kwamba wale hamna kitu...
  9. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

    Adam Mohamed Bakari, dreva wa Mh. Lissu aliyasema haya katika mahojiano yake na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo. === Adam Mohamed Bakaria aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A. Lisu amehojiwa na...
  11. Tuko

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

    Wanaofahamu sheria naomba watusaidie... Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa? Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi: Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali huwa ni chanzo cha ajali

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu. Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ulimbukeni unawasumbua msururu wa magari kwenye misafara yao

    Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wananchi kuchangia mafuta ambulance au magari ya polisi wanapohitaji huduma?

    Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe. Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

    Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
  17. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu hawamiliki magari? Huo si uchizi?

    Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza. Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Afrika ina Asilimia 3 tu ya magari yote duniani

    Jioni hii BBC Dira wamesema Afrika ina asilimia 3 ya magari yote duniani. Ikabidi nichimbe nikakutana na hii. Kufikia mwisho wa robo ya kwanza ya 2022, kulikuwa na takriban magari bilioni 1.45 ulimwenguni, ambayo karibu bilioni 1.1 ni magari ya abiria. Hiyo ina maana kwamba kuna gari kwa kila...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa serikali kuruhusu magari ya abiria kusafiri usiku

    Wakuu, week mbili hizi nimesafiri kwenda Tanga na Sasa Niko safarini kwenda Nyakanazi. Kwa Safari zote hizi, nimegundua na kuthibitisha yale ambayo nimewahi kuyasema hapa mara kadhaa. 1. Mabasi yanaondoka kwa sasi sana unnecessarily. Safari yangu ya Tanga nilifanikiwa kurekodi speed ambapo...
  20. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

    Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza. Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure...
Back
Top Bottom