Mwenye uzefu wa Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari tuelezee kiundani juu ya biashara hizi

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
Wakuu Habari za majukumu?

Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto.

Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia ya magari inalipa zaidi? Akasema upo sahihi kabisa, ila hii ya pikipiki inatoka sana sababu pikipiki kwa Dar zipo nyingi japo spare za magari zina pesa sana.

Ila tu ukitaka kuanza hizi biashara inapaswa ule na mafundi halafu ufanye research si chini ya miezi mitano mpaka 8 kupata sehemu sahihi zaidi.

Ikabidi nimtafute rafiki yangu mwarabu maeneo ya moshibaha kama mnapafahamu yeye anamaduka mawili ya spare za pikipiki nikamtafuta akaniambia tutapanga siku tuonane tuongee.

Wakuu mwenye kujua biashara hizi aliyewahi kuwepo huku au bado yupo humu tafadhari tunaweza kushare mawili matatu pamoja kwa ajili ya kujifunza wote.

Na biashara ipi inalipa kati ya hizo hapo mbili tajwa na changamoto zake kwa ujumla?

Karibuni sana.
 
Kitu kinacho sababisha watu wengi kuua mitaji ni kudandia bushara bila kua na passion nao au ujuzi nao unaanza kwa hearsays........
 
Back
Top Bottom