Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari?

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
Wakuu Habari za majukumu?

Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia ya magari inalipa zaidi? Akasema upo sahihi kabisa! Ila hii ya pikipiki inatoka sana sababu pikipiki kwa dar zipo nyingi japo spare za magari zina pesa sana.

Ila tu ukitaka kuanza hizi biashara inapaswa ule na mafundi halafu ufanye research si chini ya miezi mitano mpaka8 kupata sehemu sahihi zaidi.

Ikabidi nimtafute rafiki yangu mwarabu maeneo ya moshibaha kama mnapafahamu yeye anamaduka mawili ya spare za pikipiki nikamtafuta akaniambia tutapanga siku tuonane tuongee.

Wakuu mwenye kujua biashara hizi aliyewahi kuwepo huku au bado yupo humu tafadhari tunaweza kushare mawili matatu pamoja kwa ajili ya kujifunza wote.

Na biashara ipi inalipa kati ya hizo hapo mbili tajwa na changamoto zake kwa ujumla?

Karibuni sana.
 
Mimi kama mfanyabiashara wa duka la spea za pikipiki naweza kukushauri yafuatayo

Ni biashara hambayo inaitaji subra sana, hasa siku za mwanzoni,usishangae ukafungua duka la million 8 alafu ukawa unapambana kupata faida ya 10,000 kwa siku

Biashara yoyote kama iyo inaitaji kutengeneza wateja kwanza, this is not over night process!

Jaribu kubust biashara yako kwa kuweka kwanza bidhaa most wanted kama silicone, super glue, hydrolic,oil za aina zote.., spray za rangi,alardite.,CC za injin.,maji ya brake.,nk, hizi bidhaa japo faida yake ni kidogo sana lakini inasaidia mchanganyo

Usianzishe hii biashara Kwa Hela ya mkopo., utajuta!

Tafta sehemu hambayo Haina ushindani sana sio unaweka duka lako pembeni ya duka lingine la spea hizohizo za pikipiki..,hii italeta ushindani mkubwa na muhathirika mkubwa atakuwa ni wewe unayeanza biashara

Uwe tayari kudhulumiwa katika mchakato wa kutengeneza wateja!

Anza kidogo kidogo,sio unachukua mtaji wako wote unaenda kuemea bidhaa Kwa siku Moja na kurundika dukani..,ukifanya hivyo utajuta sana, au mwanzo wako utakuwa mgumu zaidi

Ni biashara isiyo tabirika, unaweza kuuza laki tano Leo kesho usiuze hata elf Sabin!

Biashara haiitaji mtu wa kula misele!
IMG_20231206_120458_594.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Biashara haiitaji mtu wa kula misele!View attachment 2834516

Si wanasema lazima uwe na fundi wako
 
Bosi mimi natafuta muuzaji wa ujumla wa spea za honda ace na CG
 
Mkuu umesharudi kutoka Ukraine?
 
Mimi pia niliambiwa hili. By the way kama kuna mdau anajua/ana ufahamu na bidhaa gani inayotoka sana nchini kwetu/katika majiji makubwa (Dar, Mwanza, Mbeya, Dom na Arusha). Na pia kama ninaweza kufahamu ni namna gani naweza kupata distributors/suppliers wa hizi bidhaa katika majiji hayo nitashukuru.
 
Mimi kama mfanyabiashara wa duka la spea za pikipiki naweza kukushauri yafuatayo

Ni biashara hambayo inaitaji subra sana, hasa siku za mwanzoni,usishangae ukafungua duka la million 8 alafu ukawa unapambana kupata faida ya 10,000 kwa siku

Biashara yoyote kama iyo inaitaji kutengeneza wateja kwanza, this is not over night process!

Jaribu kubust biashara yako kwa kuweka kwanza bidhaa most wanted kama silicone, super glue, hydrolic,oil za aina zote.., spray za rangi,alardite.,CC za injin.,maji ya brake.,nk, hizi bidhaa japo faida yake ni kidogo sana lakini inasaidia mchanganyo

Usianzishe hii biashara Kwa Hela ya mkopo., utajuta!

Tafta sehemu hambayo Haina ushindani sana sio unaweka duka lako pembeni ya duka lingine la spea hizohizo za pikipiki..,hii italeta ushindani mkubwa na muhathirika mkubwa atakuwa ni wewe unayeanza biashara

Uwe tayari kudhulumiwa katika mchakato wa kutengeneza wateja!

Anza kidogo kidogo,sio unachukua mtaji wako wote unaenda kuemea bidhaa Kwa siku Moja na kurundika dukani..,ukifanya hivyo utajuta sana, au mwanzo wako utakuwa mgumu zaidi

Ni biashara isiyo tabirika, unaweza kuuza laki tano Leo kesho usiuze hata elf Sabin!

Biashara haiitaji mtu wa kula misele!View attachment 2834516

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu kama hautajali unaweza kunielekeza chimbo la spares kwa bei nafuu ya jumla Dar.
Na bidhaa 5 zinatoka mara kwa mara na faida yake ni kiasi gani kwa kila moja.

Temeke kuna duka linaitwa kwa msomali, nimewahi kwenda kununua spare na mtu, naona anauliza unataka Og(original) au ya kawaida😊
 
Mimi kama mfanyabiashara wa duka la spea za pikipiki naweza kukushauri yafuatayo

Ni biashara hambayo inaitaji subra sana, hasa siku za mwanzoni,usishangae ukafungua duka la million 8 alafu ukawa unapambana kupata faida ya 10,000 kwa siku

Biashara yoyote kama iyo inaitaji kutengeneza wateja kwanza, this is not over night process!

Jaribu kubust biashara yako kwa kuweka kwanza bidhaa most wanted kama silicone, super glue, hydrolic,oil za aina zote.., spray za rangi,alardite.,CC za injin.,maji ya brake.,nk, hizi bidhaa japo faida yake ni kidogo sana lakini inasaidia mchanganyo

Usianzishe hii biashara Kwa Hela ya mkopo., utajuta!

Tafta sehemu hambayo Haina ushindani sana sio unaweka duka lako pembeni ya duka lingine la spea hizohizo za pikipiki..,hii italeta ushindani mkubwa na muhathirika mkubwa atakuwa ni wewe unayeanza biashara

Uwe tayari kudhulumiwa katika mchakato wa kutengeneza wateja!

Anza kidogo kidogo,sio unachukua mtaji wako wote unaenda kuemea bidhaa Kwa siku Moja na kurundika dukani..,ukifanya hivyo utajuta sana, au mwanzo wako utakuwa mgumu zaidi

Ni biashara isiyo tabirika, unaweza kuuza laki tano Leo kesho usiuze hata elf Sabin!

Biashara haiitaji mtu wa kula misele!View attachment 2834516

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu nashukuru sana.
 
Nilileta huu uzi mwaka jana
 
Attachments

  • DB1E9A42-C73A-4D47-880E-D03467870287.MOV
    45.3 MB
Back
Top Bottom