mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. malisak

    JamiiForums Tanzania Heko wana uzi wote mnaojitolea mafunzo ya kilimo yamenipa tija

    Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Polisi yapewa mafunzo ya kupambana na Ukatili wa Kijinsia

    Kituo cha Utafiti cha Jeshi la Polisi kilichopo Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam kwa kushirikina na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeendelea na mafunzo awamu ya pili kwa kundi la wanafunzi wa kozi ya uofisa ambayo yamelenga kuwajengea uwezo na maarifa mapya katika...
  3. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unatamani ungefanya tofauti ulipokua na umri wa chini ya miaka 25?

    Heshima yenu wakuu. Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons". Nawakaribisha kwenye uzi huu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza Uwajibikaji na Uongozi Bora: Mabadiliko ya Hatua kwa Hatua

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, uwajibikaji na uongozi bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha ufanisi na mafanikio ya shirika. Kuchochea mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni jambo la msingi katika kuboresha utendaji na kukua kwa kampuni. Katika andiko hili, tutachunguza hatua...
  5. Wichoka Son

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

    Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali. Chuo cha ufundi JITA...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Wazazi muwe makini na mafunzo yanayotolewa kwa Watoto kuhusu masuala ya imani

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini. Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani. Amesema...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kichawi wanapokuwa internship "Field" au mafunzo kwa vitendo

    WANAFUNZI WA KICHAWI WANAPOKUWA INTERNSHIP "FIELD" AU KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO. Anaandika, Robert Heriel Baada ya kupokea kozi fupifupi au ndefu katika taaluma ya Uchawi na ulozi ni muhimu kwenda Internship au field au Kwa Kiswahili fasaha tunasema kwenda kwenye mafunzo Kwa vitendo for...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Fedha za mafunzo Askari Polisi zazua jambo, Msemaji wa Polisi atoa ufafanuzi

    Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo. Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Shule ya Msingi Yaliyotoswa na Wanufaika

    Kama yote yaliyofundishwa mashuleni, hasa Shule ya Msingi, huenda haya yasingetokea: 1. Matumizi ya leso Ni kawaida kwa baadhi ya watu, wanapopenga "kamasi", kutokkutumia leso. Bdala yake, hutumia mikono yao kuziba pua kidogo na kupuliza pia, " pwiii", kupuliza pembeni. Halafu maji maji...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

    Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation &...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo na EACOP

    Vijana wangu, nasikitika kwamba Sina sifa za kuhudhuria hii fursa, jitahidi saana kama una umri huo na vigezo tajwa hudhuria hii training. Narudia, usiharibu bando yako kwinginee, tumia just hizo week kadhaa kufanya hizo training. Ningeruhusiwa ningehudhuria bahati mbaya umri umenitupa sana...
  16. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya jeshi

    Habari za muda wakuu. Naomba kwa yeyote anayeweza saidia ktk hili asaidie. Baada ya majina ya vijana watakaoenda jeshini kutoka,watu waliyapokea kwa namna tofauti. Wapo waliofurahi,na wapo ambao waliapa kutokwenda. Mimi kijana wangu ambaye yuko chuo Cha ualimu( special diploma) alifurahi Sana na...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

    >> MOVED / IMEHAMISHWA >>
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wa ku-download pesa huwa wanapata mafunzo ya siri ya kujisifu?

    Kiukweli ninashangazwa sana na tabia za hawa watu. Hawa wazee wa mambo ya bitcoin, cryptocurrency, betting na mengine yanayofanana na hayo wana shida gani kwenye vichwa vyao? Yaani vijana karibu wote wanaofanya hizi ishu kwa hapa Afrika lazima wawe na tabia za show offs na kujisifu mno huku...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
Back
Top Bottom