mafundi

  1. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ". Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu. Karibuni.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi? Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
  3. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Tuomba na sisi mafundi ujenzi wadogo wadogo utukumbuke kama ulivyowakumbuka waigizaji

    Tungetoa ushauri ni vipi tutambuliwe rasmi na tuingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi. Tungeweza toa ushauri wa vipi tumiliki mashine za VAT Tungejitolea kujenga madarasa (hata vyoo kama madarasa hatuaminiwi) kwa gharama ndogo kabisa. Tungeshiriki ipasavyo kurekebisha dosari ndogondogo za...
  4. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    Habari ndugu wana jamii forum, Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiajiri mafundi sanifu vifaa tiba wakutosha?

    Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua...
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mafundi uchomeleaji magate mkuje

    Nimeongea na fundi uchomeleaji ambapo tumekubaliana material yoote nitanunua na umeme juu yangu kwani kazi itafanyikia nyumbani kwangu. Anitengenezee mlango wa Gate la frame ya biashara lenye mlango wa kujikuja la upana wa mita 2.5 (foot 7.5). Sasa kanikomalia bei ya ufundi laki 2 (200,000)...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena, Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
  8. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mafundi mitambo wa Arise and shine TV ni wa kiwango cha chini

    Nimefuatilia TV yao kwenye matukio makubwa mengi ambayo Mtumishi huyo anayafanya , kiukweli kiwango chao ni duni kuliko TV yoyote ya Kidini iliyopo hewani . Kwa mfano hii VUKA NA CHAKO ya leo dk 10 hewani saa nzima kimya , hii si mara ya kwanza kwa TV yao kuwa na mambo haya , kuna haja ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  11. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Mafundi acheni janja-janja

    Habarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri. Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  13. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa PC Bongo

    Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated; Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na...
  14. chandeka marwa

    JamiiForums Tanzania Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  15. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Mafundi simu
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mafundi kuweni wakweli katika ufanisi wenu, msihadae wateja

    Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
  17. The bump

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

    Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa. Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi. Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board. Naomba...
  18. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania TANESCO Uyui, mnahujumiwa hapo kata ya Loya na mafundi uchwara!

    Chama na serikali vikajitahidi sana kufikisha umeme vijijini Ili wananchi wapate huduma hii, na wananchi wakafanya mchakato wa gharama kubwa Ili wapate umeme na kweli wakaupata. Baada ya kulipia LUKU na kuanzia kupata huduma hii mchezo wa kipumpavu ukaanza hasa na fundi mkuu wa TANESCO...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Tumeambiwa mitambo, je mafundi tunao?

    Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu. Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme? Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mafundi Seremala wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha Mambo?

    Hii kada ya utaalam ambayo ni muhimu sana kwenye ujenzi wa taifa naona bado wengi wao hawajielewi. Yaani kazi ya kufanya siku moja tu naukamaliza yeye anaifanya wiki nzima. Kwao muda sio mali tena. Kuamka kazini tu anaingia saa tatu. Je kwa mtindo huu tutamsaidia Rais Dr Samia kuinua uchumi...
Back
Top Bottom