Mafundi mitambo wa Arise and shine TV ni wa kiwango cha chini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,899
218,683
Nimefuatilia TV yao kwenye matukio makubwa mengi ambayo Mtumishi huyo anayafanya , kiukweli kiwango chao ni duni kuliko TV yoyote ya Kidini iliyopo hewani .

Kwa mfano hii VUKA NA CHAKO ya leo dk 10 hewani saa nzima kimya , hii si mara ya kwanza kwa TV yao kuwa na mambo haya , kuna haja ya kulifanyia kazi jambo hili ambalo ni tatizo sugu la Arise and Shine la miaka mingi mno !

jambo hili linaleta aibu sana , hii ni kwa sababu wanaofuatilia kwenye TV ni wengi kuliko wanaokuwa Kawe .

Lengo la kuleta uzi huu ni kumkumbusha Mwamposa kwamba shida hii si ndogo na asiichukulie poa
 
Tukiacha siasa huku tupo pamoja, kweli leo wanazingua sana sauti hakuna.
Nimeona mtu katapika dudu jeusi wamesema hirizi.
 
Isipofika mahali na huyo bulldozer akasema amezishiba hizo hela, naye alaaniwe tu maana sio kwa wafuasi wale jamani
 
Back
Top Bottom