mafundi

  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania SGR: Vifaa Vya Kazi( Mafundi Umeme+ Mgari)

    Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu. Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba. Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Mafundi acheni kulogana

    Niaje wakuu, Just imagine unamloga fundi Mwenzio kisa kafanya kazi ambayo uliitiwa ukataja bei kubwa yeye kataja bei ndogo kapiga kazi kwa wivu na roho mbaya yako unamfanyia umafia. At the end of the time unamloga unamuharibia maisha yake kwa ujumla unaathiri mfumo mzima wa maisha ya wanao...
  3. Olaw2jr

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Beam & Block Slab - Gharama na Mafundi

    Habarini Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua: Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160 Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
  4. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

    Tuanze na faida kwanza 1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe. 2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Soggy Doggy & Shaa - Mafundi

    SOGGY DOGGY & SHAA - MAFUNDI. " Usilolijua ni sawa na Usiku wa Ngiza/ kama Basi unabisha yapaswa kusikiliza/ Maneno haya kutoka kwa tyr ngaiza yanahusu hao mafundi wenye Michezo ya kuingiza/ .. "Wimbo huu kwa mafundi longolongo / nitakachosema ni ukweli wala sio Uongo/ mtaani kwetu kuna fundi...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini Mafundi wengi wahuni ndio huwa wanakuwa mafundi wazuri

    Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound.. Ila hao mafundi watata watata ndo unakuta wakifanya kazi matokeo mazuri.kazi zao zinawafanya watafutwe na watu kikubwa ni...
  7. Transistor

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa kuchomelea (Welders),wanahitajika

    Kazi masaa 8 kwa siku, malipo 25,000/- kwa siku ZINGATIA *Uwe smart katika kazi *Unaezingatia vipimo katika kukata na kuunda sababu vifaa tuvyounda hata mm 1 ikikosewa inaweza kipelekea hasara kubwa.
  8. chibuOG

    JamiiForums Tanzania Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Nina milioni 15 CASH na kiwanja kipo kigamboni nataka kujenga naomba kujua kwa pesa hiyo naweza kukamilisha nyumba nikahamia kabisa?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Adeline Lyakurwa: Ndege alinasa kwenye nyaya za umeme, mafundi wamerekebisha, umeme umerejea Bariadi (Simiyu)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa ikijirudia tangu wakati kuna Mgawo wa Umeme, ufafanuzi umetolewa na imeelezwa changamoto hiyo imetatuliwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi computer: Nina sh 40,000 natafuta CPU

    Habari mafundi computer Jamani Nina sh 40,000 nahitaji CPU ya desktop computer kampuni yoyote. Iwe unafanya kazi. Ni PM picha zake Shwari wazee
  11. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Tujuane mafundi JF, Umoja wa mafundi (UWAMA)

    Wasalam... Ikiwa ni ijumaa safi kabisa yenye baraka na fanaka tele... Bila kuwachelewesha leo naomba niwakutanishe na mafundi wote ambao wapo hapa jf kutatua shida mbali mbali ukiachana na mimi Fundi manyumba au fundi bishoo Ila kuna wenzetu wengi ambao wamekua wakitoa michango mbali mbali...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa Kitanzania badilikeni

    Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme hadi fundi wa maji. Kuna mambo mawili ambayo yanakera sana ambayo wanafanya mafundi wa Kitanzania...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

    Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani?
  14. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania MAFUNDI WA CCTV CAMERA-MWANZA NA MIKOANI-0746373222.

    Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK... Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi. Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA. Call/Whatsapp 0746373222. Instagram...
  15. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Mafundi nisaidieni A14 haiwaki

    Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata Hela Nunua Gari Kali, Mafundi na Spea tutajua uko uko..

    Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko.. Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika.. Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi.. Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
  17. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Mafundi niliwaamini ila imeniangusha asee

    Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote Ila jana kwenye sehemu fulani ya ujenzi naona mafundi wanaiba nondo na mifuko ya cements pamoja na waya za umeme Kwanini...
  18. greater than

    JamiiForums Tanzania Mafundi Tiles, Rangi, CCTV na Fire Alarm wanicheki

    Kwa vijana wenzangu wenye kujishughulisha na fani za Ufundi Tiles/Marumaru Rangi CCTV, Fire alarm Mnitafute, kuna nafasi ya kupata tenda.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  20. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
Back
Top Bottom