mafundi

  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

    Labda kwa kuanza nieleze kisa kilichomkuta jamaa yangu. Jamaa ana Subaru Forester 2006 2.0L Usiku wa kuamkia 9 january 2023 zilinyesha sana mvua na kuna maeneo mjini yalijaa maji, sasa bahati mbaya wakati anaenda mishemishe kuna mahali alifika maji yakawa mengi. Katika kupita maji yakawa...
  2. system hacker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Mafundi wazuri wa magari jijini DSM na Mikoani

    Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi. Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
  3. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mafundi Magari wa Kibongo hufanikiwa kujiinua kwa Promo halafu ukiwapatia kazi wanajiua kwenye kazi ya kwanza tu

    Mafundi garage wa kitanzania wana mchango mkubwa sana katika kuyatia ubovu magari ya watu. Mafundi hawa ni wazuri sana kwenye kujipigia promo na kuwaharibia waliofanya uwekezaji mkubwa. Utakuta fundi anawachambua yale magereji makubwa yakiwemo ya wachina na wakorea kwamba wale hamna kitu...
  4. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa Namna hii Wanapatikana Wapi?

    Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi bomba (plumbers)

    Naona mafundi bomba huku mtaani wengi bado wanapenda kujenga hizi chemba za kawaida (inspection chambers) katika mfumo wa maji taka wa nyumba (drainage system) Kama upo kwenye ujenzi, utajenga au ulishajenga tuna kitu cha kujifunza katika mfumo huu wa maji taka nimeulewa sana Kitaalamu mfumo...
  6. Owen chimela

    JamiiForums Tanzania Msaada mafundi Tv hisense

    Naomba msaada ....Tv yangu Hisense 32" imeleta shida kwenye mkanda unaounganisha motherboard (engine) na screen hiv kuna uwezekano wa kupatikana?
  7. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mafundi wengi huikimbia miradi ya serikali ya ujenzi kutokana na mlolongo mrefu wa malipo!

    Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa upatikanaji wa fedha za malipo kwa mafundi wakuu na vibarua wao! "Unajuta day worker anaomba hela yake...
  8. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na mafundi jokofu naomba msaada

    Habari ndugu zangu, Naomba msaada na ushauri kuhusiana na hii freezer yangu. Nilinunua mpya dukani hapo Katoro kwenye maduka ya vifaa vya umeme ni kampuni ya Hisense ina ujazo lita 100. Nimetumia kwa muda wa wiki tatu, ingawa wiki ya kwanza haikuwa na changamoto ila kwa hizi wiki mbili...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DC Heri James: Fedha ya force account, iwanufaishe Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa

    Dar. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James amesema Fedha ya force account, ni kwaajili ya kuwanufaisha Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa ili kuwe na mzunguko wa Hela Nchini. Ameyasema hayo wakati wa Kufunga mafunzo kwa Mafundi 1000 wa Wilaya ya Ubungo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kampuni ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

    Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania! Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu! Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima...
  11. Merchante

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafundi seremala 6-10 au hata kama una uwezo wa kutumia msumeno, nyundo na tape measure vizuri

    Wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu. Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps. Malipo ni TSH 25,000/= Per day. Ni muhimu na haraka sana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana

    Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani. Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
  13. kagombe

    JamiiForums Tanzania Tushirikiane mafundi na wateja

    Nimeamua kuanzisha group ili liwe msaada kwetu mafundi na wateja kwa pamoja.ili litakua group la kusaidiana kutatua matatizo ya kiufundi na ushauri vifaa vinapopatikina kwa urahisi ila la kuzingatia tusiwe wajanjawajanja tufanyeni kazi. Simu software vs hardware tutakua tunaweka solution...
  14. ragin

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme mnisaidie kuhusu hiki kitu

    Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,, 1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu? 2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme nikiweka itakatwa? 3/ Vipi kuhusu meter kuu kama wenzangu hawajaingiza umeme na tuko giza mimi wangu...
  15. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

    Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini). 2:APP ya...
  16. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  17. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani muda umefika kwa mafundi ujenzi kuanza kusajiliwa na kupewa leseni ili tuwadhibiti?

    Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu...
  19. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

    Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita) Tofali za Boma = 5015 Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc Nime’attach picha yenye...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
Back
Top Bottom