Genuine spare parts za manufacturer wa gari husika.OEM ndo nn mkuu
Hongera sana. Pale kwenye mafra kubwa kuja kwenye engine wapunguze Yale mapamba kwa pembeni. Pili usilioshe kwa presure ya maji. Hasa kwenye engine. Waoshe kawaida tu. Ikiwezekana engine wawe kama wanaifuta hivi badala ya kupiga maji mengi.Habari ndugu wana jamii forum,nimejikongoja kdg nimenunua nissan duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Zipo. Zinazokosekana unaagiza nje.Asante mkuu ila kwa hapa dar es salaam nazipata wap maana uchakachuaj umekuwa kila sehem now days
Kujiwakia MotoChangamoto yakehizo gari over heating Kwa safari ndefu na kujiwakiamoto fundi wa kazi gani
Karibu.Dah mkuu asante sana kwa ushauri, umenifungua vtu muhim sana
Habari ndugu wana jamii forum,
Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Yale mapamba pembeni ya mafra yakioshwa oshwa yanalegea theni yanasogea pale kwenye mafra. Na pale pana joto Kali sana. Kwa hiyo ni rahisi kushika moto. Moto huwa unaanzia hapo kwa hizi Duas. Kwa hiyo ukiyapunguza yakabaki kwa mbali utakuwa umepungiza hatari ya hizi duas kuunguaDah mkuu asante sana kwa ushauri, umenifungua vtu muhim sana
Asante sana mkuuYale mapamba pembeni ya mafra yakioshwa oshwa yanalegea theni yanasogea pale kwenye mafra. Na pale pana joto Kali sana. Kwa hiyo ni rahisi kushika moto. Moto huwa unaanzia hapo kwa hizi Duas. Kwa hiyo ukiyapunguza yakabaki kwa mbali utakuwa umepungiza hatari ya hizi duas kuungua
Pia fundi wa gari unalotumia wewe ni wewe mwenyewe. Jitahidi sana kuizoea gari yako. Mfano ukikuta kitu kiko tofauti labda unavyowasha au unavyoendesha ukasikia mngurumo usio wa kawaida au unapoendesha ukakuta kuna mahala kama panagonga au pana mlio tofauti. Hapo ndio unaenda kwa fundi kujua nini tatizo. Na wewe ni fundi wa kwanza ksbb inatakiwa wewe ndio uwe wa kwanza kutambua tatizo,na kawaida iko hivyo. Kwa hiyo ukienda kwa fundi unamuelewasha tu wapi unapasikia pana shida.Asante sana mkuu
Habari ndugu wana jamii forum,
Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Asante sana mkuuPia fundi wa gari unalotumia wewe ni wewe mwenyewe. Jitahidi sana kuizoea gari yako. Mfano ukikuta kitu kiko tofauti labda unavyowasha au unavyoendesha ukasikia mngurumo usio wa kawaida au unapoendesha ukakuta kuna mahala kama panagonga au pana mlio tofauti. Hapo ndio unaenda kwa fundi kujua nini tatizo. Na wewe ni fundi wa kwanza ksbb inatakiwa wewe ndio uwe wa kwanza kutambua tatizo,na kawaida iko hivyo. Kwa hiyo ukienda kwa fundi unamuelewasha tu wapi unapasikia pana shida.
Jifunze kupima tu oil asubuhi kabla hujaiwasha. Maana hizo gari zina kawaida ya kupunguza oil. Siku ya siku kama huna kawaida ya kupima utakuja kuendesha gari kumbe imekausha oil yote. Hayo ni mambo yanaanzia kwako sio kwa fundi.
Mfano mwingine gari unaendesha barabarani inang'ang'ania upande hapo unampigia simu fundi wako kujua ni nini?. Hapo fundi wa kwanza ni wewe kutambua gari haiendi sawa. Zoea kupima upepo tyre kila baada ya wiki 2. Haya ndio mambo ya mwanzo wewe kuyajua na kuzingatia kwenye gari. Karibu