mafanikio

  1. Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

    Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
  2. Fanya Jaribio Hili La Siku 30 Litakaloubadili Mwaka 2021 Uwe Wa Mafanikio Makubwa Kwako

    Rafiki yangu mpendwa, Unaweza kuamini tayari tumefika mwezi wa tano kwenye mwaka huu wa 2021? Mwaka ambao siku siyo nyingi ulikuwa unauita mwaka mpya na ukajiambia kabisa utakuwa mwaka wa mambo mapya! Sihitaji kukukumbusha jinsi ambayo mengi uliyojipangia kwa mwaka huu umeshaachana nayo...
  3. Sipendi niliowaajiri waendelee, yaani wafanikiwe na ku-move on. Napenda wabaki wanyonge hivyo hivyo

    Binadamu amezaliwa na evilness yaani tangu yumo tumboni mwa mama yake Nilikuwa nalaumu sana kwanini wafanyabiashara wakubwa wanakuwa makauzu sana au wana roho fulani hivi. well..hii tabia hujengwa kutokana na dissapointments wanazokutana nazo kutoka kwa watu waliowaajiri, tena sanasana ngozi...
  4. Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

    Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k? Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au...
  5. M

    Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale. "Kwanini Simba SC...
  6. Baada ya ziara ya Mama Samia ya mafanikio Uganda Uhuru aiga kwa kwenda DRC

    MY TAKE Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania! Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
  7. J

    Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

    Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake...
  8. Mafanikio ya chanjo za corona yaweza kurudi sifuri

    Imeelezwa kuwa mafanikio yaliyopatikana ya hivi karibuni dhidi ya corona covid 19 iliyoitesa dunia kwa zaidi ya mwaka yanweza yote kupotea. Sababu ya kwanza ni kutokana na watu wengi kulegeza tahadhari dhini ya ugonjwa huo na sababu ya pili ni kutokana na kuwa kile kirusi cha awali...
  9. Uliwezaje kufanikiwa maisha haya?

    Habari zenu wanajamvi, wakubwa zangu shikamoni! Katika maisha haya yanayoenda kasi tofauti na karne ya 19 na 20, suala la kutoboa linahitaji kuwa na akili ya kujiongeza sana na mengine mengi. Katika kufanikiwa kimaisha kuna mambo mengi sana unayafanya, lakini kuna moja tu utalifanya, basi ndio...
  10. Ukweli usiosemwa: Siri kuu ya mafanikio ni ushirikiano (Tumikisha watu wengi ufaidike au kusanyeni wengi mbebane)

    Utatafuta kila namna ila huu utabaki kuwa uhalisia. Wengi wanajua stori za mnara wa babeli. Ni mnara unaodhihirisha nguvu ya ushirikiano. Mungu aliona kutokana na ushirikiano uliokuwepo wale watu walikuwa wanaenda kufanikiwa akaamua kuwavuruga lugha. Ushirikiano ndio mafanikio ndio maana ni...
  11. Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

    Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia. Aisee hawa viumbe waliotapakaa kila kona ya dunia sio siri wana kitu cha ziada. Huko Marekani Wanaijeria wanafanikiwa...
  12. Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

    Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo ambazo mlizibuni na maeneo mlikofanyia hizo shughuli zenu hadi mkafikia hatua ya mafanikio mliyo nayo...
  13. Mafanikio ya Pep Guardiola akiwa na Manchester city

    Manchester City imeweka rekodi ya kuwa timu kubwa kutoka England ambayo imeshinda mechi nyingi mfululizo. Ikiwa imeshinda mechi 15 , huku ikifunga magoli 40, na kuruhusu magoli 5, ikiwa na clean sheets 10 chini ya Pep Guardiola. Kocha huyo wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich amefikia...
  14. Mafanikio ya kielimu yamekuwa kikwazo watoto kupenda kuajiriwa na kukacha biashara za wazazi, wewe mfanyabiashara umejipangaje??

    Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu. Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
  15. Vitabu 31 vya kusoma mwaka 2021 ili maisha yako yawe bora zaidi

    Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake. Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma. Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa. Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
  16. Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January. Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
  17. T

    Tambua Siri za mafanikio ya biashara za Wahindi

    For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region will probably tumble. The same case can also be said in countries like South Africa, Ghana, Ivory...
  18. J

    CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

    Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu. Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri...
  19. Zijue sifa zinazomuwezesha mjasiriamali kupata mafanikio

    Najua una shauku ya kuwa MJASIRIAMALI mwenye mafakio. Lakini je, unazo sifa za kukuwezesha kufanikiwa kama MJASIRIAMALI? Baadhi ya sifa zinazo mwezesha MJASIRIAMALI kupata mafanikio ni kama zifuatazo:- 1: Mawazo ya kiubunifu (Creative Thinking). MJASIRIAMALI huwaza kiubunifu ni jinsi gani...
  20. Mafanikio yangu ya mwaka 2020 na mipango yangu ya 2021

    Tukutane December 2021..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…