mafanikio

  1. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

    UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya mafanikio kujua kusoma na kuandika bado ni changamoto kwa baadhi ya watu katika nchi za Afrika

    Tarehe 8 Septemba ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujua kusoma na kuandika, ambayo pia inafahamika kama siku ya kisomo. Siku hii inaadhimishwa ili kufuatilia maendeleo ya sekta ya elimu katika nchi mbalimbali, duniani hasa elimu ya msingi ambayo lengo lake kuu ni kufuta ujinga. Lakini...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Amri kumi (10) za mafanikio zitakazokutoa jehanamu ya umasikini na kukupeleka pepo ya mafanikio

    Habari zenu wanafamilia wa JamiiForums? Ni imani yangu kuwa mu bukheri wa afya na mnaendelea kushiba chakula cha maandishi kinachopikwa asubuhi, mchana na jioni na waandishi chipukizi kwenye jukwaa letu pendwa la uandishi wa mtandaoni wenye kuleta mabadiliko yaani "Stories of change". Hakika...
  5. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  6. C

    JamiiForums Tanzania Justin Bieber amepewa jina jipya la Prince of Pop baada ya mafanikio haya

    Justin Bieber amepewa jina jipya 'Prince of Pop' baada ya muziki wake kupata wasikilizaji Milioni 83.3 ndani ya mwezi mmoja katika mtandao wa Spotify na kuweka rekodi mpya ya msanii aliyesikilizwa zaidi ndani ya mwezi mmoja. - Rekodi hii awali ilishikiliwa na Ariana Grande. Wasanii wanaofata...
  7. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kubadili Mwelekeo ni Katika Njia ya Kufikia Mafanikio, Using'ang'ane na Ulichonacho

    Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo linamshugulisha ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku. Kupitia shuguli hizo baadhi yetu hupata...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

    Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Chanjo za Corona, kuna kitu gani cha maana kilichofanywa na Serikali ya awamu ya 6?

    Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali, miradi iliibuliwa na kutekelezwa kwa kasi, ikawa ndio kama tumezinduka toka usingizini. Hii serikali ya awamu ya 6 inanishangaza sana, toka imeanza hadi sasa imekuwa ni Corona na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 Tanzania: Mwelekeo mzuri, bado safari ni ndefu

    Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
  11. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kibongo nini kinawasibu, tunatamani tuone mafanikio yenu ya kisoka kama hawa wanaopita kwetu

    Wakuu nimekuwa najiuliza kwanini wachezaji wa kibongo bado wanafeli kutusua kucheza mpira nje ya nchi kama mataifa mengine. Kila mwaka hatuuzi mchezaji wa ndani kwenda kucheza nje na ikitokea akaenda hamalizi msimu anarudi kupiga ndondo na tolori combine tunafeli wapi au mnafeli wapi? Simba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

    Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe. Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba

    Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma. Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mafanikio

    ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo. 1. KUPOTEZA NDGU NA MARAFIKI: Unapo anza...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafanikiwa wao tu?

    ✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU? 💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?😇( hapa kichwa kinauma) ✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, unavyofikiria mafanikio ni tabia?

    Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷‍♂️ Eti ni kweli? Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa 👩🏿‍🦲👩🏿‍🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa. ✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁 Ndio kuna tabia lazima uzibadili ndo mafanikio ama malengo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hivi umefikiria kuhusu muongozo wa dunia na wanaoiongoza?

    💧 Dunia inaongozwa na watu wanao fikiri tofauti na wengine. 💧 Ukihitaji kuongoza katika sekta Fulani labda tuseme kiuchumi lazima ufikiri tofauti. 💧Mfano pale watu wanapo sema ng'ombe wa masikini hazai wewe ili ufanikiwe fikiri tofauti na msemo huu. ✍🏿 Huwa napenda sana kusoma historia za...
  18. Iam me empire

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Mfalme alipoona umri umeenda aliamua kutafuta mtu wa kumrithisha Ufalme wake. Mfalme alikusanya vijana 10 na akawaambia atawapa mtihani yule atakae faulu ndiyo atakuwa mrithi wake. Mfalme aliwapa vijana hao mbegu za mahindi na akawaambia kila mmoja aende nazo nyumbani akazioteshe, akawapa muda...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia njia hizi sahihi utafanikiwa katika maisha

    Na Chu Joe Habari za muda huu Watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kupata mafanikio

    Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio. Hivyo...
Back
Top Bottom