Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale.

"Kwanini Simba SC imeachana ghafla na Kampuni ya Sunderland Only One iliyokuwa inaelekea Kushinda Tenda hiyo na kuikubalia Vunja Bei? "

"Sunderland Only One walikuwa tayari kutoa Cash ya Tsh Bilioni 1 kwa Simba SC tunataka na hawa Vunja Bei nao watoe hiyo hela ".

Ndipo baadae Mchambuzi Mwendamizi hapo hapo Wasafi FM Msomi wa IFM na Wakala wa Wachezaji George Job (ambaye pia ni mwana Yanga SC Mwenzake) alipojitokeza na Kumfafanulia vizuri na kumfanya Maulid Kitenge aonekane kweli ni 'empty set' kabisa

"Si kweli Maulid Kitenge Sunderland Only One hawajafanyiwa mtimanyongo wa Kushinda hiyo Tenda na Simba SC mpaka Vunja Bei akashinda "

"Ukweli ni kwamba Vunja Bei alifanya Presentation nzuri sana ambayo haikuishia tu kusema Simba SC itapata Faida kama walivyofanya Sunderland Only One bali wao Vunja Bei walienda mbali zaidi kwa kuahidi Kuipanua zaidi Simba SC Kimataifa hasa katika Matukio ya Kimkakati kitu ambacho hata Mimi George Job nakipongeza na nawapongeza sana hawa Vunja Bei "

Simba SC endeleeni tu Kumlea huyu Mtangazaji Maulid Kitenge na hizi 'choko choko' zake za kila mara kwa Simba SC ila kuna Siku Mashabiki uvumilivu utawashinda na wataamua Kumfanyia kile ambacho 'Mwarabu' wa iliyokuwa TIOT enzi hizo alikuwa akimfanyia na Yeye Kukifurahia pia.

Inakera na tumeshamchoka hivi sasa.
 
Maulid kitenge ni mdau wa sunderland clothing, kwa hiyo kaweka double standard zake, anakula pesa zao kwenye matangazo pamoja na kina antonio nugaz, tatizo la watangazaji wengi wa hapa wanaangalia sana maslahi kuliko ukweli.
Presicely Chief.
 
Kitenge kwenye habari za utopolo ndo mzuri, ila simba huwa anatukandia sana, saivi kipindi kimekaa kama kijiwe cha walevi wa gongo kelele kibao

Ukitaka kuamini angalia leo lile swala la saido alicho fanya jana, na morison juzi anakomalia sana la Morison kuliko la Saido ambalo tulio angalia mpira jana tuliona alivyo fanya ishara na kutoka akiwa na hasira hadi anavua nguo na kuanza kumbembelezwa harafu mtu anasema ni style ya kushangilia ile.
 
Umbumbumbu ni kuto tambua hakuna mtu anaitwa Vunja bei aliyeshinda tendai ya ku uza jezi za Simba ila werevu wana tanbua ni MO yuleyule aliye vaa ngozi ya kondoo na kujifanya Vunja bei.kilicho fanyika apo ni kumuondo kasim Dewji kwa njia ya panya ili asiendelee na tenda.
Kuna Watu mna Akili sana hapa Jamvini.
 
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale...
Hebua funguka Mwarabu wa TIOT alimfanya nini Kijola?
 
Umbumbumbu ni kuto tambua hakuna mtu anaitwa Vunja bei aliyeshinda tendai ya ku uza jezi za Simba ila werevu wana tanbua ni MO yuleyule aliye vaa ngozi ya kondoo na kujifanya Vunja bei.kilicho fanyika apo ni kumuondo kasim Dewji kwa njia ya panya ili asiendelee na tenda.
Unateseka ukiwa Kidimbwi gani hapa Dar?
 
Back
Top Bottom