Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,553
- 46,095
Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k?
Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au kusubiria maamuzi ya mtu mwingine?
Kwa nini wanawake ambao wanaamini wanachelewa kuolewa huwa katika pressure kubwa sana ukilinganisha na wanaume?