mafanikio

  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  3. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Unayataka mafanikio makubwa ndiyo maana unasoma hapa. Hongera sana kwa hilo. Lakini kuna habari ambazo siyo nzuri sana kwenye hiyo safari uliyochagua. Takwimu za mafanikio zinatisha na kusikitisha. Wanaoyataka mafanikio ni wengi, lakini wanaoyapata mafanikio hayo ni...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Mwongozo wa Maisha ya Mafanikio

    Rafiki yangu mpendwa, Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata. Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka. Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa inayotumiwa na Polisi kuwadhibiti BAWACHA bila mafanikio ni kuipaisha taasisi hiyo

    Ile Taasisi bora ya akina mama barani Africa, na ambayo inatajwa kushika namba 3 kwa ubora duniani kwa sasa, BAWACHA, Imeishika Nchi kwa kiganja kimoja cha mkono wa kushoto. Pamoja na kwamba Bawacha ni Taasisi ya wanawake, lakini nguvu kubwa inayotumiwa na Jeshi la Polisi kuwadhibiti bila...
  6. emmarki

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kwenye kusafisha nyota na mafanikio

    wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
  7. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uthubutu ni Silaha ya Mafanikio

    Nyanja: Maendeleo ya Jamii Mark Zuckerberg mmiliki wa FB Taswira kwa hisani ya Google Utangulizi Tabia ya uthubutu haikuumbiwa waoga wala wenye soni bali wajasiri...
  8. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa maskini wa kutupwa

    "Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)...
  9. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siri ya mafanikio katika maisha ya binadamu

    SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi'' Angalia maisha yako. Je, kuna maeneo katika maisha yako hayakufurahishi? Maisha yako ni wajibu wako...
  10. Elly Twix

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mafanikio yapo mikononi mwako

    Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wanaoishia njiani? Kwa nini baadhi ya wajasiriamali wanaanza biashara ndogo na baadae itakuwa na kuwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Mafanikio

    UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea upweke na kuwatunukia utulivu, faraja, huruma, mapenzi, upendo na ushirikiano. Kutokana na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Vikwazo na Mafanikio

    KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI. Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa. Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki. JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO? Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tabia ni Mafanikio

    KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI. Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa. Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki. JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO? Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
  14. Bonnie99

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

    Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi? **Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi **RIP Prof Luhanga.
  17. vnn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  18. vnn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu mambo yanayofanya Wajasiriamali/Wafanyabiashara wadogo wadogo washindwe kufikia malengo

    Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao. Mjasiriamali ni nani? Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya Fedha kwa vijana ndio siri ya Mafanikio

    Asilimia kubwa ya vijana waliokuwa katika mifumo rasmi ya Elimu hutumia takribani muda wa zaidi ya Miaka 17 kutumikia katika ngazi tofauti tofauti za elimu zao lakini ndio kundi kubwa la watu ambao wenye elimu ya vyeti lakini ubunifu na maarifa madogo katika kukabiliana na changamoto mbalimbali...
Back
Top Bottom