Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,202
- 79,433
MY TAKE
Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania!
Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
Baraza la usalama UN linamtumia vibaya huyo mlevi, Sasa anaongelea mambo ya amani, I utawala bora, kupokonya silaha kwa raia etc... He's preaching what he can't practice. Hata nchi yake ameshindwa kuiweka in order ndio atawezana na kuiunganisha Africa?Kwani tunashindania LDC countries,
Upuuuzi.
Leta story za maana
ngoja tuone abrakadaba alias diblodibala za Uhuru!Baraza la usalama UN linamtumia vibaya huyo mlevi, Sasa anaongelea mambo ya amani, I utawala bora, kupokonya silaha kwa raia etc... He's preaching what he can't practice. Hata nchi yake ameshindwa kuiweka in order ndio atawezana na kuiunganisha Africa?
Mbegu zimejaa kwa maraia hovyo na bado hizo za ruiru hazijaanza kuingia mtaani mbona mtamalizana nyie? Jayden atawabeba ufala hadi lini ndio mjitambue? Anaendesha nchi man a-LOAN sio...
Wako radhi kubebwa ufara, as long as ni mkikuyu mwenzao.Baraza la usalama UN linamtumia vibaya huyo mlevi, Sasa anaongelea mambo ya amani, I utawala bora, kupokonya silaha kwa raia etc... He's preaching what he can't practice. Hata nchi yake ameshindwa kuiweka in order ndio atawezana na kuiunganisha Africa?
Mbegu zimejaa kwa maraia hovyo na bado hizo za ruiru hazijaanza kuingia mtaani mbona mtamalizana nyie? Jayden atawabeba ufala hadi lini ndio mjitambue? Anaendesha nchi man a-LOAN sio...
Mlirudi lini kua ldcKwani tunashindania LDC countries,
Upuuuzi.
Leta story za maana
Huo ndio ukweli mchungu asee.. Hawa jamaa wapuuzi kweli inapokuja kwenye suala la ukabila.Wako radhi kubebwa ufara, as long as ni mkikuyu mwenzao.
Ilikuwa ni Jiwe, sasa baada ya mzee kuondoka kiuzembe uzembe sifia sifia zimehamishwa kwa Mama. Hivi karibuni utasikia eti hata M7 naye aliiga swag za kufunika kipara kutoka kwa Suluhu. Watz buana.
lazma uongozi wenu uwe na clear vision na si mnakuwa wazee wa matukio yaani jirani akifanya hivi na nyie mnafanya kile! Mnakumbuka zile trip za mlevi wenu Paris baada ya Museveni na Magufuli kutangaza Tanga kama route ya EACOP? Ziliishia wap?Ilikuwa ni Jiwe, sasa baada ya mzee kuondoka kiuzembe uzembe sifia sifia zimehamishwa kwa Mama. Hivi karibuni utasikia eti hata M7 naye aliiga swag za kufunika kipara kutoka kwa Suluhu. Watz buana.
Ziara km hzo tukifanya litambo sana, kuhus masuala ga ndege pia zilikua tangia kitambo..
MY TAKE
Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania!
Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
Umeniua mzee, sio kitambo watakuja kusema Amina mohamed kaiga kuvaa nguo kutoka kw suluhuIlikuwa ni Jiwe, sasa baada ya mzee kuondoka kiuzembe uzembe sifia sifia zimehamishwa kwa Mama. Hivi karibuni utasikia eti hata M7 naye aliiga swag za kufunika kipara kutoka kwa Suluhu. Watz buana.
Hta mke wa uhuru anamuiga suluhu kutembea na kusonyalazma uongozi wenu uwe na clear vision na si mnakuwa wazee wa matukio yaani jirani akifanya hivi na nyie mnafanya kile! Mnakumbuka zile trip za mlevi wenu Paris baada ya Museveni na Magufuli kutangaza Tanga kama route ya EACOP? Ziliishia wap?
Baada ya kusikia hili
Then huyo mbio Paris kujaribu ku-spoil regional decision on EACOP route
I still remember the arrogance demonstrated by the lady with long hairs
Huyo size yake ni Akothee!Hta mke wa uhuru anamuiga suluhu kutembea na kusonya
Hta mke wa uhuru anamuiga suluhu kutembea na kusonya