Danp36
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,097
- 920
Habari zenu wanajamvi, wakubwa zangu shikamoni!
Katika maisha haya yanayoenda kasi tofauti na karne ya 19 na 20, suala la kutoboa linahitaji kuwa na akili ya kujiongeza sana na mengine mengi.
Katika kufanikiwa kimaisha kuna mambo mengi sana unayafanya, lakini kuna moja tu utalifanya, basi ndio Mungu kaweka baraka hapo / upenyo hapo ndio umetoka mazima.
Iwe kwenye biashara, iwe kupata kazivya ndoto yako, iwe kumpata mweza wa maisha ,iwe kujenga nyumba yandoto yako . Kipi ulipitia mpaka ukatoboa mazima?
Mfano mfanyabiashara mmoja anawezafanya biashara miaka nenda rudi, lakini siku ghafla anakutana na mbia au tenda kubwa ,hio ndio upenyo katoboa.
Mwingine kafanyakazi ilimradi tu mkono uende kinywani, lakini siku kama masihara anaomba kazi sehemu kubwa bila kutarajia, ghafla anapata, inabadilisha maisha yake.
Karibu tujifunze uzoefu wako.
Mshana Jr Kiduku Lilo Malila na wengine