mafanikio

  1. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mafanikio

    ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo. 1. KUPOTEZA NDGU NA MARAFIKI: Unapo anza...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafanikiwa wao tu?

    ✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU? 💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?😇( hapa kichwa kinauma) ✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, unavyofikiria mafanikio ni tabia?

    Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷‍♂️ Eti ni kweli? Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa 👩🏿‍🦲👩🏿‍🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa. ✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁 Ndio kuna tabia lazima uzibadili ndo mafanikio ama malengo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hivi umefikiria kuhusu muongozo wa dunia na wanaoiongoza?

    💧 Dunia inaongozwa na watu wanao fikiri tofauti na wengine. 💧 Ukihitaji kuongoza katika sekta Fulani labda tuseme kiuchumi lazima ufikiri tofauti. 💧Mfano pale watu wanapo sema ng'ombe wa masikini hazai wewe ili ufanikiwe fikiri tofauti na msemo huu. ✍🏿 Huwa napenda sana kusoma historia za...
  5. Iam me empire

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Mfalme alipoona umri umeenda aliamua kutafuta mtu wa kumrithisha Ufalme wake. Mfalme alikusanya vijana 10 na akawaambia atawapa mtihani yule atakae faulu ndiyo atakuwa mrithi wake. Mfalme aliwapa vijana hao mbegu za mahindi na akawaambia kila mmoja aende nazo nyumbani akazioteshe, akawapa muda...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia njia hizi sahihi utafanikiwa katika maisha

    Na Chu Joe Habari za muda huu Watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kupata mafanikio

    Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio. Hivyo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara na mafanikio katika maisha

    1.BIASHARA. 2.MAFANIKIO KATIKA MAISHA. 3.HITIMISHO 1.0.BIASHARA. Kuna aina mbalimbali za biashara na aina ya ufanyaji biashara zinazoweza kukukuza kiuchumu. Katika andiko hili litakuonyesha ni nini ufanye ili biashara yako iwe na mafanikio makubwa. 1.1. Kupata soko la biashara yako. Watu wengi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uyatima na kielelezo cha mafanikio maishani

    Nawasalimu nyote mtakaosoma story hii! Awali ya yote nipende kusema kwamba yote nitakayoandika kwenye story hii ni maelezo yangu ya kweli na nimeyaishi. Hivyo basi story yangu ni ya kweli na ilikuwa mapito yenye ukweli ndani yake: Nimezaliwa kijiji kimoja wapo wilayani Rufiji mkoani Pwani...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

    Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi. Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea...
  12. Dead Man

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo

    Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya 1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO. Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya kuombea masomo yako kila siku na kila mara,kila siku unapoamka asubuhi kabla ya kwenda shule au chuo piga...
  13. Mancobra

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz

    Naseeb Abdul Juma Issack (maarufu kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba au Dangote; alizaliwa dar es salaam, 2 october 1989 ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo flava kutoka Tanzania. Diamond ni msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine Tanzania na Afrika...
  14. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mafanikio katika Umakini wa Mikakati

    1.1 Utangulizi Katika muingiliano unaotabirika na usiotabirika wa mambo mchanganyiko ambayo yanaathiri dunia katika upande chanya na hasi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, kufanikiwa kunahitaji umakini katika mikakati ili shughuli ambazo mtu au taasisi imeanzisha au ni endelevu...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  16. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya njema ni nguzo ya Kwanza ya Mitaji ya Mafanikio Katika Maisha

    1. Utangulizi Tuko katika kizazi chenye kudhani kuwa kuishi vizuri ni kuwa na fedha. Fedha inaonekana ni kila kitu. Tunadhani kuwa ni fedha ndizo hutufanya tununue nyumba, gari, nguo, chakula na maisha mazuri kwa ujumla, na wengine kwenda mbali zaidi na kupata jeuri ya kujiona wanaweza hata...
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula. Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha. Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa...
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kumchukia mtu kutokana na mafanikio yake ni kufilisika kwa uwezo wa kufikiri

    Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu aliyefanikiwa? Iko wazi chuki ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha msongo wa mawazo. Kumchukia...
  19. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Ukitaka Mafanikio Makubwa, Usiwe 'Fair'

    Rafiki yangu mpendwa, Kuna vitu waliofanikiwa sana wanavijua, lakini huwa hawaviweki wazi. Wanafanya hivyo kwa sababu jamii huwa haielewi vitu vingi kuhusu mafanikio, na hivyo huishia kuwashambulia waliofanikiwa pale wanapojaribu kuwa wakweli. Mara ngapi umesikia masikini wakiwasema matajiri...
  20. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Vitu 10 ambavyo Wanaume waliokomaa hawavifanyi

    Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
Back
Top Bottom