mafanikio

  1. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Wanaohubiri Injili ya mafanikio wao wenyewe hawakutajirika kwa injili hiyo!

    Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

    Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu. Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika? Lugha zisizo na staha hazikubaliki Niwatakie sikukuu njema ya Noel
  4. Nifah

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

    Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu. Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa hupewa heshima! Muigizaji mkongwe, mfanyabiashara na mshereheshaji maarufu Mahsein Awadhi ‘Dr...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuelezea mafanikio uliyoyapata 2023 na mipango ya 2024

    Karibuni tuelezee mafanikio tuliyoyapata 2023 na mipango ya 2024.Binafsi 2023 nimetoka kapa ila namshukuru Mungu. 2024 mipango yangu ni kuanzisha biashara, kununua kiwanja/viwanja, pamoja na kununua gari hata kama ni old school. Ee Mwenyezi Mungu unisaidie
  6. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Rich Dad Poor Dad: Siri za Mafanikio

    8 Powerful Lessons from "Rich Dad Poor Dad" by Robert T. Kiyosaki: 1. The rich don't work for money; they make money work for them. This core principle shifts the focus from earning a salary to building assets that generate passive income. This includes investments in real estate, businesses...
  7. iamdastani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafanikio ni Mchakato

    Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani , Login • Instagram
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka : 1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au 2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo. Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange: Viongozi Waelezeni Wananchi Mafanikio Sekta ya Afya

    Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini. Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kanuni 50 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Kwa Mafanikio Makubwa

    Kanuni Na. 04. Kuwa Na Fokasi. Fokasi ni kuchagua mtaa mmoja na kuwaachia mitaa mingine wawekezaji wengine. Fokasi ni kujenga timu bora sana kwenye mkoa mmoja au wilaya moja na kuacha mikoa/wilaya zingine wawekezaji wengine. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia mafanikio yangu?

    Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia maisha na haya mafanikio yangu kidogo niliyonayo afya njema aliyonipa Mungu. Eti kwakuwa mzazi au mlezi wangu hana, mafanikio kama ya kwangu. Huu kwangu ni ubinafsi tu na ninaamini kila mmoja ana bahati zake katika safari yake ya maisha. Mfano Diamond v/s...
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Jux kwa mafanikio haya

    Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1. Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana kibiashara. Sisi wapenda burudani na maendeleo ya vijana tunakupongeza sana na tunafurahi kuona kijana...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

    Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz. Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia. Watu...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feisal, Djuma Shabani na Bangala wanatufundisha nini kupitia mafanikio ya Yanga baada ya kuondoka kwao?

    Wanatufundisha: 1. To let it go/ To let them go. 2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi usimlazimishe abaki muache ende zake. 3. To move on. 4. To never look back. 5. Kila kitu kina...
  17. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Haya Ndio Yanachelewesha Mafanikio Yako

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za ujenzi wa maisha yako na taifa kwa ujumla.Leo nachokoza mada kuhusu mambo ambayo huchelewesha mafanikio ya mtu.Ni matumaini yangu kwamba mjadala huu utakufanya uweze kuona mwanga na kuchukua hatua stahiki. Karibu...
  18. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Hivi mafanikio yanategemea wakati wa Mungu ukifika

    Wiki iliyopita nilimtembelea ndugu yangu mmoja ana kijana wake age 20s ni muda mrefu sijawahi kumuona akifanya shughuli yoyote wala kusikia akifanya kazi yoyote Mama yake ndio namuona akipambana na vibarua vya kufanya usafi huko ili mkono uende kinywani yule kijana anategemea kidogo anachochuma...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RPC wa Ruvuma aelezea mafanikio ya Oparesheni, misako na doria mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha Mwezi Septemba 01.2023 hadi Oktoba 25,2023 limeendesha Opereseheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma na kukamata watuhumiwa watatu (03) wakiwa nyara za Serikali, Meno ya tembo vipande 10, Nyama...
Back
Top Bottom