Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,595
8,729
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.

Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya mafanikio wakiona ushawishi wa mitandao ya kijamii yale mafanikio wanayo onyeshwa bila kujua uhalisia wa watu.

Ogopa sana mtu anayekwambia kafanikiwa kwenye forex alafu huyo hyo anataka kuwafundisha au kuwa tradia mkiipa pesa zenu. Watu hawa asilimia kubwa wametrade na kupoteza pesa nyingi na kuanza kutafuta kwa njia nyengine ili kupata kipato.

wanaongia kwenye forex wengi ni betting jackpot bila kujua risk management. Ili jambo linawakuta sana wanaoingia kwenye forex sababu ya kuaminishwa na matamanio wanayoelezwa kuwa utatoboa haraka.

Ukweli forex ni utapeli uliochangamka kwa wasiojua biashara hii ilivyo sababu imebebwa na tamaa za watu kutaka mafanikio. Kwa nini forex ni utapeli uliochangamka? Biashara ya forex imegeuka kuwa utapeli sababu hakuna mwenye uhakika na soko kama neno lake lilivyo Foreign exchange.

Sababu ni hipi kuonekana kuwa ni utapeli?
  • Wengi wetu sio wasomaji wa vitabu vinavyo husiana na elimu hii wanataka kufundishwa leo kesho yupo sokoni.
  • Waaminishaji na wahamasishaji ni wengi pale wanapokuonesha mafanikio yao ila hasara kuoneshwa ni ngumu.
  • Usiri wa mafanikio ya forex ni mkubwa sana kwa wachache ila ni wengi waliofeli kwenye mafanikio.
  • Mabroker wengi wamekuwa matapeli sababu hawa wapeleki sokoni hapa unatakiwa kujua ni broker gani kwako.
  • Kujiona muelewa ndani ya mda mfupi bila kutambua soko sio lako na kufeli hapo hapo.
TAHADHARI:
Hakuna chochote duniani utakacho fanya bila kukidadisi mwenyewe usitegemee mtu yoyote kukupa mafanikio sio changamoto utafeli.

Most people lose money in Forex trading, why is this? Actually numbers are following: 70% -75% of people lose money in their first year of trading!

Other 20–25 % lose money in next 5 years! (hapa srJEff ina muhusu)

And only 3–5% of all traders are profitable or not losing money.

Reason why people lose money:
  • Not following money management;
  • Do not know how position sizing works;
  • Do not have trading system;
  • Over trading!
 
Hakika FX ni utapeli uliochangamka nikukaa nayo mbali.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-03-21-11-51-07-228_net.metaquotes.metatrader4.jpg
    Screenshot_2024-03-21-11-51-07-228_net.metaquotes.metatrader4.jpg
    255.6 KB · Views: 10
Ukinipa laki itazaa utapata milioni 3...
Ukileta watu10 utapata milioni10..
Na wao watapata milioni3.

Sasa hapo wewe unakuwa meneja.. kampuni yetu tunaimiliki Manchester city.. hivyo nawe unakuwa mmiliki naukuwa mfanya maamuzi ya timu.
hiyo sio forex .embu elewa na maana ya forex .ili ndilo nimetoka kuongea kusoma vitabu mtaki alafu unakurupuka kujibu.
hiyo ni ponzi au investment scam kama mfano JATU au mr kuku .kwani jatu ni forex ana fanya bereu exchange foreign market
 
hiyo sio forex .embu elewa na maana ya forex .ili ndilo nimetoka kuongea kusoma vitabu mtaki alafu unakurupuka kujibu.
hiyo ni ponzi au investment scam kama mfano JATU au mr kuku .kwani jatu ni forex ana fanya bereu exchange foreign market
Naelewa sana. Ni kuchangamsha hadhara tu. Haya maujinga ya forex by the way utapeli wake tu.eshaudiscuss sana humu miaka mingi tangu watu waungie chaka kwa ontario kwahiyo hakuna jipya uliloleta.
 
Back
Top Bottom