Nahamishaje sexual energy kwenda kuwa mafanikio au business delevopment energy?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Sina namna nzuri ya kuelezea lakini kwa kingereza ni SEXUAL TRANSMUTATION kitu kama hicho.

Kifupi mimi ni mtu niko horny 24/7 aisee!

Yaani ni motoooo!! Sijui ni tatizo au ni normal lakini nachojua ndio nilivo!

Wenda hata ningekuaga tajiri sema ndio hivo hiyo nguvu/Energy /Power ipo upande mwingine.

Nishawaihi kusikia watu wakisema mfano ukiweza ku redirect au kuibadili hii nguvu kwenda kwene biashara au masomo au vitu vya kujiendeleeza basi utafanikiwa sana Binafsi niliamini. Ngoja nikwambie kwanni.

Shule mi sikua mtu wa kusoma kifupi sikua naweza kusoma saa moja mmfululizo likaisha. Nikisoma nusu saa bas nishachoka na kupoteza interest.

(Aiseee😂😂😂😂hapa nilikua nawashangaa wanaosoma kuanzia saa 2usiku na kurudi saa8 usiku nilikua najiuliza wanasoma kinini sijui ila nachokumbuka wengine tumetoka sawa na GpA ya upper low😂😂😂)

Wapo wataosema hyo ni Attention deficit mental illness lakini siwalaumu nawaelewa pia.

Upande wa pili wakati nikishindwa kusoma zaidi ya saa moja Lakini nilikua naweza kuangalia na kupekua porn kuanzia saa3 usiku had saa 9 au saa kumi alfarjiri 😀CAN YOU IMAGINE HIYO ENERGY? masaa mangap hayo babuu.

Somaaaa hyooooo! Kuna energy kubwa sana huko kwene hiyo sector ninayo.

Wakati Nilishindwa kupaka rangi na kuweka tiles kwene kajumba kangu ila nilipanda ndege kwenda dar kwa ajili ya uzinzi ambao tulikua tunachat social media. budget 1.3M wakat budget ya kukarabat kajumba kangu iilikua kama 450k tu.

Hii investment hainilipi wanangu nawambia.

Asilimia kubwa la bundle natumia kuangalia hayo mambo yanayonifanya nakua horny. Ulimwengu wa xxx lets say budget ya bundle kwa mwezi ni kama 80k.Hapo lakini kiwanja changu hati ni 150k sijakikatia. Mambo ni mengi sana.

Ndipo nikaja kukutana na HIZI IDEA ZA KUHAMISHA ENERGY KUTOKA SECTOR MOJA YA MWILI HAD NYINGINE.

Vitu vilivyonimotivate mfano. Erick shigongo Aliwai sema “Right wanaume tungeweka nguvu tunazozitupia kwene mapenzi na ngono kwene biashara au kutafuta mafanikio wengi tungekua matajiri”

Sasa watalamu wa hivi vitu naombeni msaada. Uwe professional please maana kuna wale wakurahisisha.

609A6F59-EAFF-4CFA-828B-D9945FE34A5D.jpeg
 
Anza hivi!

Ukiwaza ngono,mfano kuna msichana umeshampanga mkalondomoane guest,tengeneza bajet ya tukio zima mf nauli yenu wote2, mkifika labda mtapata vibia viwili vitatu, hela ya kulipia gest nk.

Ukishapata jumla kuu jiulize hiyo hela si unaweza kununua tofali kadhaa? Au kama ni mfanyabiashara let say wa nyanya jiulize hiyo hela unayoenda kuiteketeza huko ni sawa na tenga ngapi za nyanya? Ukipata jibu nenda kanunue nyanya.
 
Hilo ni pepo.
Hakuna psychologyst anaweza kukupa nasaha za kukufungua na hilo pepo.
Ni wewe mwenyewe siku ukijawa na Roho Mtakatifu atachukua hiyo nafasi (udhaifu) na mambo mengine yatakwenda ok.
Kujazwa Roho Mtakatifu ni njia bora na muhimu ya kutatua spiritual problem permanent kuliko kupmbewa na mtu yeyote.
Kuombewa mara nyingi uponyaji hauwi permanent
 
Anza hivi!!!
Ukiwaza ngono,mfano kuna msichana umeshampanga mkalondomoane guest,tengeneza bajet ya tukio zima me nauli yenu wote2, mkifika labda mtapata vibia viwili vitatu, hela ya kulipia gest nk.
Ukishapata jumla kuu jiulize hiyo hela si unaweza kununua tofali kadhaa? Au kama ni mfanyabiashara let say wa nyanya jiulize hiyo hela unayoenda kuiteketeza huko ni sawa na tanga ngapi za nyanya? Ukipata jibu nenda kanunue nyanya
we jamaa😂😂😂
 
Hilo ni pepo.
Hakuna psychologyst anaweza kukupa nasaha za kukufungua na hilo pepo.
Ni wewe mwenyewe siku ukijawa na Roho Mtakatifu atachukua hiyo nafasi (udhaifu) na mambo mengine yatakwenda ok.
Kujazwa Roho Mtakatifu ni njia bora na muhimu ya kutatua spiritual problem permanent kuliko kupmbewa na mtu yeyote.
Kuombewa mara nyingi uponyaji hauwi permanent
😎😎
 

Ukiwa na kiasi self-control maana yake utabalance nishati au u me me katika mambo yako.

Maisha ni tukio la kimchakato na sio Ajali hivyo jambo kabla haujalofanya liwekee kiasi.

Ngono sio mbaya Ila utakuwa mbaya ukiipatia umeme mkubwa na ukajinyima umeme katika mambo mengine.

Self-control ndo inawezesha mambo yetu yaweze Ku-flow vizuri.

Then wewe hatua uliyopo unaangaishwa Ila ukikua utaacha kuangaishwa na utaanza kujiangaisha

Upo sex driven na sio sex drive.

Maintain self-control weka kiasi kwa kila kitu ili umeme utembee
 
Hakuna mazingaombwe, kikubwa aidha uache kuendekeza zinaa hio nguvu elekeza kwenye shughuli zako au uwe na mpenzi wa kueleweka,, hii chovya chovya mara huku kesho kule ndo inawamaliza vijana wengi,,nguvu yako ya uumbaji inakua inatumika ndivyo sivyo
 
Mleta mada

Je,Unaweza kwa kuwa huwezi kukontroo hiyo kitu,Je unaweza kusex na dada yako?
 
Back
Top Bottom