Jinsi ya kukabiliana na janga la kamari za mitandaoni Kwa vijana tunaotafuta mafanikio

joyce123

Member
Mar 4, 2021
10
10
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na kupoteza uaminifu.

Baada ya kupoteza vitu vyote mwanzo ilikuw jambo gumu kukubaliana na uhalisia lakini baada ya kukubaliana na Kila kitu now ndo naanza kujitafuta upya, huku nikiendesha bajaji ya hesabu.

Wana JF tushauriane nini kifanyike vijana kuacha kuibiwa
 
Vijana tuache kutamani hela/mafanikio ya haraka, ya ghafla bin vuu tu tayari akaunti inasoma 50m.

Kuwa na tamaa ya mafanikio kwa kufanya kazi halali na ukubali kujipa muda huku ukiwa na nidhamu ya kila kitu.

Kamari mpaka sasa ni janga kwa taifa la kesho.
 
Kuna game hapo ya Bournemouth Nikaipa ashinde away 0-3 Mpaka dakika ya 70 nakuja kuizingatia nakuta 4-3 asee sio poa
 
Attachments

  • Screenshot_20240313-230608.png
    Screenshot_20240313-230608.png
    240.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240313-230633.png
    Screenshot_20240313-230633.png
    246.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240313-230653.png
    Screenshot_20240313-230653.png
    256.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240313-230809.png
    Screenshot_20240313-230809.png
    224.2 KB · Views: 6
Sometimes yes ila Mara nyingi ni kuliwa tu
 
Attachments

  • Screenshot_20240313-230819.png
    Screenshot_20240313-230819.png
    249.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240314-002907.png
    Screenshot_20240314-002907.png
    243.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240314-002838.png
    Screenshot_20240314-002838.png
    250.4 KB · Views: 5
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na kupoteza uaminifu.

Baada ya kupoteza vitu vyote mwanzo ilikuw jambo gumu kukubaliana na uhalisia lakini baada ya kukubaliana na Kila kitu now ndo naanza kujitafuta upya, huku nikiendesha bajaji ya hesabu.

Wana JF tushauriane nini kifanyike vijana kuacha kuibiwa
Ni hatari sana yote uliosema ndio jela ya uchumi na stress za nyakati za sasa ni majini makubwa sana hayo
 
Lumumba posho haitosh ***** had vijana wa chama wanabet..kwel ccm kiboko
We Jamaa Lofa kweli yaani mambo ya 2015 Mpaka Leo unayakumbuka me mwenzio nilishajipata siku nyingi Tena awamu ya big mkubwa japo simuelewi me jembe langu magu aisee miaka Mia 8
 
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na kupoteza uaminifu.

Baada ya kupoteza vitu vyote mwanzo ilikuw jambo gumu kukubaliana na uhalisia lakini baada ya kukubaliana na Kila kitu now ndo naanza kujitafuta upya, huku nikiendesha bajaji ya hesabu.

Wana JF tushauriane nini kifanyike vijana kuacha kuibiwa
usisahau pia kuna watu wanabonda pia kwenye hiyo hiyo.BET mfano kuna yule jamaa wa mbagala alikulaga jack pot ya milioni 300 hela yenye ya BET alikua anapewa na dada ake muuza mgahawa.kuna yule mkenya mshona viatu alikulaga jack pot ya sport pesa zaidi ya milioni 800 ya Tz had leo anaenyoy maisha tu.
 
Back
Top Bottom