maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Utalii Zanzibar: Uchafu watajwa kuwa kikwazo

    Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii. Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Zanzibar kujiletea maendeleo yaongezeka, sasa inajenga bandari kubwa ya kisasa. Hongera Rais Mwinyi na Maalim Seif!

    Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki. Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk. Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
  3. mkadiriajimajenzi

    JamiiForums Tanzania CCM hoyee: Kituo kipya cha Mabasi Ikungi

    Tuliahidi ... tunatekeleza
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vipi mnahamasisha wengine kulipa kodi ikiwa ninyi hamlipi kodi? Mtajua vipi kodi zilizopo ni kandamizi ilihali ninyi haziwahusu?

    Mabibi na mabwana tunapo tapatapa na pumzi kuweza kupumua, kumejitokeza mielekeo chanya sana katika kuwasaidia TRA kubaini vyanzo zaidi vya mapato yasiyokuwa na utata wowote. Ni vizuri kila aitwaye mtu na hasa aliye mzalendo wa kweli akalipa kodi kwa kila aina ya pato alipatalo. Huo ndiyo ulio...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, wateule wako hawakucheleweshi kwa shughuli za maendeleo tu, wanakuchelewesha pia kuifanya Tanzania nchi ya utawala bora

    Kauli uliyoitoa jana mkuu wa nchi yetu inatia moyo, maana umetambua wazi kuwa wateule wako wengi hawaendani na kasi yako. Mbali na hilo wengi ni wacheza maigizo kwenye luninga ya taiifa yaani TBC wakijifanya wanatekeleza ilani ya CCM. Kama hata wewe mkuu wa nchi umetambua kuwa wateule wako ni...
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Moja ya kanuni ukitaka maendeleo uwe na roho mbaya je kweli?

    Wadau juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tumepoteana muda mrefu amepiga hatua kubwa sana kimaisha nikamuuliza katika mazungumzo yetu kauli yake ni moja tu kaka ukitaka kusogea kimaisha toka hapo ulipo unatakiwa uwe na roho mbaya sana utafanikiwa. Hii kauli mpaka sasa naitafakali.
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali ya awamu ya tano kudhibiti siasa za harakati zilizokuwa zinachelewesha maendeleo

    Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe. Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania. Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete. Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Chato au popote pale nchini ni maendeleo ya Taifa zima

    Dhana ya Maendeleo nchi isipotoshwe na watu wachache kwa sababu zao lakini uhalisia ni kwamba maendeleo yanayofanyika Chato yasichukuliwe kuwa ni upendeleo la hasha. Tukumbuke kuwa Taifa hili limejengwa kwa misingi ya umoja tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya Mwl. Nyerere hivyo ukiangalia mkao...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

    Watanzania wenzangu heri ya Mwaka Mpya 2021. Nimewiwa kutoa mawazo yangu kufuatia kelele nyingi za " kijinga" zinazopigwa kuhusu maendeleo makubwa na ya haraka zinazopigwa Wilayani CHATO katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano. Fact kubwa ambayo hatuwezi kuipinga ni kuwa Wilaya hiyo...
  10. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

    Salaam Wana JF. Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Sijaona mantiki ya Lissu kupotosha umma wa Watanzania dhidi...
  11. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

    Naomba kuuliza, Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini? 1) Uzalendo 2) Ubinafsi 3) Matumizi mabaya ya Madaraka 4) Ushamba 5) Katiba mbovu 6) Kukosa uadilifu Naomba jibu wakuu! NB: Sijataja jina la mtu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuchangia Ujenzi wa madarasa ni maendeleo ya Vitu au Watu?

    Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao. Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement. Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. Maendeleo hayana vyama
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliochaguliwa na wananchi wana uwezo mkubwa wa kuleta chachu ya maendeleo

    Januari imefika taarifa iliyoko ni kuwa watoto wetu wengi wanaoanza kidato cha kwanza hawana madarasa ya kusomea. Hili ni swala la kila mzazi na mwananchi. Hatujui nani katika hawa watoto atakuja kuboresha sera za nchi sisi tukiwa ni wazee. Watanzania walioko Ughaibuni wangetumika kusaidia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Lengo namba moja la maendeleo endelevu (Global Goals)

    Lengo hili linahusu kuongeza kipato cha watu waishio kwenye umaskini na kuhakikisha wanapata huduma za msingi na kumlinda kila mtu kuepukana na majanga. Hivyo basi, Serikali za Mitaa zina jukumu la kuhakikisha kwamba, ifikapo 2030:- · Zinatokomeza umasikini uliokithiri kwa watu wote...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili tabia zetu kama binadamu

    Maendeleo ya sayansi na tekinolojia yameua mahusiano ya kijamii. Leo hii kila mtu anatembea na simu. Akiwa anasubiri huduma iwe mahakamani au hospitali anaingia Instagram au Facebook. Hakuna muda wa kumsalimia aliyekaa pembeni yako. Miaka ya nyuma ilikua ni kawaida kugonga mlango katika...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utaifa wa EAC unachelewesha maendeleo

    Kwa ufupi tu umoja ni nguvu. Ukiangalia vizuri kuna vitu ambavyo wana EAC tungeweza kufanya pamoja na kurahisisha maendeleo ya nchi zote 1. Madawa tungeweza kuagiza pamoja maana tunaumwa magojwa yale yale hii ingesaidia kupunguza bei ya uagizaji kwasababu tuna nunua kwa jumla. Lakini kwenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

    Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ni kipi unafikiri kiongozi wa kisiasa aliyepo madarakani au ameajiriwa anaweza akawahamasisha Wananchi kushiriki maendeleo yao?

    Kwa maoni yangu hapa kuna swali fikirishi, tuna miaka 5 mbele yetu ambayo tunaelekea kumaliza siku 60 toka tumalize uchaguzi. Tulipoanza miaka m5 ya awamu hii tulikuwa na tabia ya kuhesabu siku na kubaini ndani ya siku hizo vitu kadhaa vikiwa vimetekelezwa na kufanyika, kwa kipindi hiki cha...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa nikihisi kuwapa vijana nyadhifa za juu kutasukuma maendeleo kwa kasi, kumbe nilijidanganya

    Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi. Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ungependa Serikali ifanye nini kuongeza chachu ya maendeleo ya watu na Taifa?

    Natamani kuona mawazo chanya ya watanzania wakipendekeza nini kingefanyika ili kikidhi matarajio ya ndoto zao na za Taifa. Hapa tuongelee maendeleo/Uchumi, mambo ya kampeni za siasa tuweke pembeni. Kama hoja inahusu mkoa/eneo fulani litaje. Binafsi napendekeza; 1. Vijana wetu wanao maliza...
Back
Top Bottom