madereva

  1. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani ni matokeo ya nidhamu mbovu ya madereva

    Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi: Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali huwa ni chanzo cha ajali

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu. Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC wa Dar es Salaam Muliro una Taarifa kuwa Mauwaji ya Kikatili kwa Madereva Bodaboda yamerejea tena?

    Ndani ya Wiki Moja nimetoka Kuhudhuria Misiba ya Madereva Bodaboda Wawili ( tena Vijana kabisa Masikini ya Mungu ) na Wote wameuwa Kikatili ( Kishalubela ) na Watu wanaowapora Pikipiki zao huku Wakiwatoboa na Kuwanyofoa Macho yao. Muda huu huu kuna Mwana ( Rafiki ) nae ananiambia atachelewa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva Pemba wakerwa tabia ya Wanafunzi kupuuzia honi barabarani

    Madereva wa vyombo vya moto Kisiwani Pemba, wamewataka wanafunzi kutodharau honi wanazowapigia au miungurumo maalum ya mashine, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. Wamesema, wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kudharau honi au mivumo isiyokuwa na kawaida, wanayoifanya ili wakae pembeni...
  5. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

    Ifike mahali abiria wanapo ona Dereva anaendesha gari mwendo ambao sio mzuri wajisimamie na waache kuja kusema mwendo ilikua mkali.
  6. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa madereva bodaboda na wapanda bodaboda

    Habari wakuu Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii -changamoto zake -kupeana taarifa za kiusalama -maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi -upatikanaji wa spare -changamoto za kiufundi -vituko vya barabarani Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki Kwa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DC Kilosa aagiza polisi kuwachukulia hatua kali madereva wa IT wanaobeba abiria

    Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga ameliagiza jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kuweka utaratibu wa kuyakagua magari yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi maarifu kama IT na kuwachukulia hatua madereva wanaobeba abiria katika magari hayo. Mwanga ambaye ni...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kubaini madereva wanaochati, kuongea na simu waingia Dar

    Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania ONYO: Abood Bus waonye Madereva wako, Mwendokasi unaua abiria wasio na hatia

    Nipo kwenye Abood Bus T 818 DXJ linalotoka Dar - Morogoro, dakika chache zilizopita tumenusurika ajali kugongana uso kwa uso na lorry karibu na Imperial Sec School Chalinze kisa ni dereva wa Abood kuwa kwenye mwendo mkali na kuovertake lorry lenye namba T662 DEM sehemu isiyoruhusu wakati mbele...
  11. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi Nyegezi wakimbia kupimwa ulevi na macho

    Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza, linawasaka Madereva zaidi ya 10 wanaoendesha magari ya mikoani na nje ya nchi waliokimbia kupimwa ulevi pamoja na macho katika kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza Sunday Ibrahimu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madereva wa Daladala wagoma kwenda Kijichi

    Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi! Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa Temeke na pia hakuna abiria.
  14. waBasila

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya watalii Arusha Airport: Ni malalamiko ya kimaslahi ya madereva waliolalamikiwa na wageni, ila sio malalamiko ya wageni dhidi ya mamlaka

    Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi: Madereva wa Serikali wana kiburi sababu ya Namba za Magari yao

    Kamanda Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema baadhi ya madereva wanavunja sheria za usalama barabarani kwa sababu ya namba za Serikali kama STK, STL, SM, PT na kulindwa na viongozi wanaowaendesha. Amesema baadhi ya madereva hawafuati taaluma zao na wanajiamini kuzidi kiwango huku...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kudhibiti madereva wao, wanajiona wao wapo juu ya Sheria za barabarani Nchini

    Ni siku chache tu zimepita tangu itokee ajali ambayo haikuwa na madhara makubwa kati ya basi la mwendokasi na defender ya Polisi. Picha za tukio hilo zilisambaa mitandaoni na ilivyoonesha wazi kabisa kuwa mwenye kos ani yule aliyekuwa akiendesha ile gari ya Polisi kwa kuwa aliingilia njia ya...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Mauaji ya madereva bodaboda yaongezeka, hofu yatanda

    Hofu imetanda katika wilaya ya Tunduru , kutokana na Mauaji na kutekwa kwa vijana waendesha boda boda. Taarifa kutoka mjini Tunduru zinasema , vijana wa bodaboda wamekuwa wakipotea baada ya kukodiwa na watu, wanaojifanya wanakwenda vijiji vya mbali na Tunduru. Katika tukio la hivi karibuni...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  20. 0743919950

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
Back
Top Bottom