madereva

  1. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania "Jeshi la Polisi ni "Zimamoto" ya kukamata madereva walevi

    "IMEANDIKWA KWENYE MAGAZETI MENGI YA LEO" Jeshi la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata madereva wasiozingatia sheria za barabarani, wanaotumia vilevi, wakiwa wanaendesha magari pamoja na kuwakamata wamiliki wa magari yasiyokuwa na viakisi mwanga Uamuzi huu wa polisi umekuja ikiwa ni...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine. ''Ungekuwa na haraka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba

    Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna malori (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Madereva tupeane mbinu za kuchomoka hapa

  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kuchezea mifumo ya vidhibiti mwendo vya mabasi ili madereva waendeshe kwa kasi kubwa

    Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi. Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
  8. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi Stendi ya Magufuli, Mbezi wana kikao

    Wakuu, nimo ndani ya basi la Abood kuelekea Dodoma ambalo linapaswa kuondoka saa 12 asubuhi. Mpaka sasa saa 12:30 hakuna basi lililoondoka stendi hii ya Mbezi kuelekea sehemu mbalimbali. Nimeulizia nikaambiwa madereva wana kikao.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Pump Attendants wana nafasi nzuri ya kuwaelimisha madereva

    Naenda moja kwa moja kwenye mada. Jana nimepita kujaza mafuta kwenye kituo kimoja sitakitaja nimefurahishwa sana na uelewa aliokuwa nao pump attendant aliyekuwa ananihudumia, ni hivi nilipofika pale nimesimamisha gari akaniamrisha nizime gari nikazima lakini nikasema ngoja nimhoji ni kwanini...
  10. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

    Dereva wa basi la Kampuni ya Saul T 485 DXE wamemshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed 115-120. Kutokana na story ya muhusika anasimulia kuwa alikua na App ya kusoma speed ya gari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group...
  11. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Afya Counseling kwa Madereva

    Imefika mahali hizi Ajali sio bahati mbaya tena ni Uzembe wa mtu mmoja unaweza ondoa maisha ya familia za watu wasiopungua 60 ndani ya basi ndani ya nusu saa tu! Hii sio sawa...kwa nini tukubali kuwa kama kuku mtu mmoja Atuchinje kwa Akili yake tu bila sababu hivi hakuna njia mbadala ya kudeal...
  12. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Hii kona ni kali sana, hatari kwa madereva

    Anayejua eneo hilo atuambie, tuwe na tahadhari
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wanahitajika Wilaya ya Longido - Mshahara Tsh 390,000/=

    NEW JOBS AT LONGIDO DISTRICT COUNCIL, APRIL 2022 The Executive Director of Longido District Council is inviting applications from Tanzanians to fill new vacant positions. Read full details through the PDF Document attached below:
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini usijengwe ukuta katikati ya barabara za mikoani kupunguza ajali?

    Shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo; 1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani. 2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea 3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa madereva watajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali za barabarani Zanzibar

    ASILIMIA 48 ya wahojiwa kuhusu ajali za barabarani, kisiwani Zanzibar wameeleza kwamba uzembe wa madereva ni kati ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani, huku asilimia 27 wakisema ni kutozingatiwa sheria za barabarani. Takwimu hizo zimebainishwa hivi karibuni Mkoani Dar es Salaam, kwenye...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Madereva Uber pasua kichwa!

    Bora Uber wamesitisha hii huduma. Maana wengi wa madereva hawajielewi. Uelewa, huduma kwa wateja, usafi SIFURI **Unamkuta dereva ananuka harufu Kama hajaoga miaka na hapo anataka ratings nzuri. "***Ni vyema Hawa madereva wakafunzwa kabla ya kupewa magari
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania LATRA wafafanua madereva wa taksi za mtandaoni walioandamana kwenda ofisini hapo

    Baada ya Madereva wa taksi za mitandao wameandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Jijini Dar es Salaam kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa bado kuna wahusika awazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva waandamana kwenda LATRA wanataka Uber, Bolt wapandishe bei ya nauli

    Madereva wa taxi za mitandao (Uber na Bolt) wameamua kuandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhnj(LATRA), kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa wahusika bado hawazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta Source: Dar...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Madereva waandamana, wafunga barabara wataka nauli zipande

    Baadhi ya madereva wa Bajaji katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana na kufunga barabara kushinikiza kupandishwa kwa bei za usafiri kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta. Walifanya mgomo huo wakitaka mamlaka ziwaruhusu wapandishe nauli. Kwa sasa usafiri wa kuchangi abiria mmoja analipa Sh...
Back
Top Bottom