Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.

Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?

Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi wenu, Leo mmecheza na Madreva Taxi wanaoshabikia hyo Club na Parking za Taxi zao ni nje ya Uwanja wa Ismailia, kuvaa jezi za Ismailia sio kigezo, kwani mkisema ukweli mtakufa?

Nb: Makolo 1- Ismailia Taxi Drivers 1

Period
 
Hii sumu ya kufilisika na kushindwa kupeleka team pre-season itaua mtu mwaka huu, nawakumbusha tu msemo wa kiafrika kuwa huweza kumpandisha mnyonge kwa kumtweza mwenye nguvu, watu hula asbh jioni hulala njaa, hupata leo kesho hukosa, ni mtindo wa kawaida kwa viumbe vyote, acheni makasiriko.
 
Hii sumu ya kufilisika na kushindwa kupeleka team pre-season itaua mtu mwaka huu, nawakumbusha .
Hivi hata pre season ya mwaka jana imewasaidia kushinda kombe lipi zaidi ya mapinduzi ?

..... Kutokana na ufinyu wa muda, klabu nyingi Afrika zitafanya maandalizi ya msimu 'pre season' katika nchi zao.

🇿🇦
South Africa - Mamelodi
🇹🇿
'Avic Town' Tanzania - Yanga SC
🇿🇦
South Africa - Orlando Pirates.
🇿🇦
South Africa - Kaizer chiefs.
🇬🇳
Guinea - Horoya Athletic.
🇲🇦
Morocco - Raja Casablanca.
🇨🇩
Dr Congo - AS Vita club.
🇿🇲
Zambia - Zesco Utd.
🇿🇲
Zambia - Red Arrows.
🇺🇬
Uganda - Vippers SC.
🇿🇲
Zambia - Nkana FC.
🇰🇪
Kenya - Tusker FC.
🇲🇦
Morocco - RS Berkane.
🇰🇪
Kenya - Gor-mahia.
🇨🇮
Ivorycoast - ASEC Mimosas.
🇰🇪
Kenya - FC Leopard.
🇹🇳
Tunisia - Esperance de Tunis.
 
Humu chege alitisha sana kwenye chorus

"Kama kunaendeka nijue kama hakuendeki nijue. Wapiii?"
 
Kumbe huwa mnam diss ila mnamkubali kiaina 😂😂😂😂, nahisi wewe licha ya ukolo wako ulishinda hadi saa tisa usiku kusubiri utambulisho wa Aziz Ki

Nina kazi za kufanya so usingizi ni Jambo muhimu kwangu
 
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.

Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?

Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi wenu, Leo mmecheza na Madreva Taxi wanaoshabikia hyo Club na Parking za Taxi zao ni nje ya Uwanja wa Ismailia, kuvaa jezi za Ismailia sio kigezo, kwani mkisema ukweli mtakufa?

Nb: Makolo 1- Ismailia Taxi Drivers 1

Period
Hivi Haji Manara, aliwaroga? Yaani, wengi huwa hamtumii akili zenu, pindi Haji anapokuwa AMEHARISHA UHARO WAKE!
CamScanner%2007-18-2022%2013.23.jpg
 
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.

Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?

Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi wenu, Leo mmecheza na Madreva Taxi wanaoshabikia hyo Club na Parking za Taxi zao ni nje ya Uwanja wa Ismailia, kuvaa jezi za Ismailia sio kigezo, kwani mkisema ukweli mtakufa?

Nb: Makolo 1- Ismailia Taxi Drivers 1

Period
Huna brain
 
Chama Cha madereva wa tax Cairo kimewapongeza Chama Cha madereva wa tax Ismailia complex Kwa kufanikiwa kucheza mechi ya kimataifa.
Chama icho Cha Cairo Misri kina mpango wa kuomba mechi kabla ya Simba kumaliza zira Yao.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom