macho

  1. R

    JamiiForums Tanzania Macho ya kinabii yatumike kuboresha vetting zetu nchini

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTON. Napoongelea macho ya kinabii, Siongelei hao mnaowaita wazee wa kamati, HAPANA. Pia sichanganyi dini na siasa, sababu Asili ya Siasa ni Mbinguni, sasa Mwana wa Mungu nakupa codes Kutoka JUU, ambazo zaweza kututoa hapa kwenye mkwamo. Wakati Nchi zilizoendelea...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watake radhi watu wenye ulemavu wa macho

    Wengine wamechipuka tu, wakaona dunia ndio hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo, kila unachomwambia, kama jogoo? Kama jogoo? Kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, kwa hiyo anachokijua duniani ni jogoo tu. https://youtu.be/xvzea3alrRg?t=1293 Sasa dunia ya leo upeo wa watu kuheshimu...
  3. JamiiForums Tanzania Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku". Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad. Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
  4. JamiiForums Tanzania Kupoteza maono ya macho

    Kupoteza maono ya macho (Acute Vision Loss) kwa kawaida hutokea ndani ya dakika chache hadi siku kadhaa. Inaweza kuathiri jicho moja au yote mawili au sehemu ya uga wa kuona. Sababu kubwa za kupatwa na dalili za kutoona vizuri ni mtengano mdogo wa safu ya seli za vipokea picha (retinal...
  5. JamiiForums Tanzania Haamini Macho Yake Kuona Shule Ikijengwa Kwenye Kitongoji Chao

    MZEE KIUNYA ANAOMBA KUMUONA MHE RAIS: HAAMINI MACHO YAKE KUONA SHULE MPYA IKIJENGWA KWENYE KITONGOJI CHAO Kijiji cha Kigera cha Musoma Vijijini kimepokea Tsh 348,500,000 (Tsh 348.5m) kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi mpya (Mradi wa BOOST) ambayo itakuwa ya pili, na...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye masikio wasikie na Wenye macho waone: Bunge linawaalika wadau kutoa maoni

    Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa kwa Dkt. Slaa na wenzie, Upinzani muangalieni kwa macho ya kijasusi Mwandishi Bollen Ngetti

    Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano. Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
  9. JamiiForums Tanzania Jamani madaktri wa macho nifanye nini katika hili?

    Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana hasa wakati nikitoka kulala au kukiwa na jua na usiku mwanga wa gari au pikipiki unaniumiza pia...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  11. JamiiForums Tanzania Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

    UZURI WA MWANAMKE HUWEZI KUUONA SIKU YA KWANZA, MACHO HUDANGANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi wanaume kisaikolojia tunapomuona Mwanamke Kwa mara ya Kwanza, macho yetu hutuonyesha kama tumeona kiumbe kizuri. Hii ni Kwa sababu wanaume kiasili katika Akili zetu tumezaliwa tukijua...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa ya 2022 ya ufanisi wa bandari duniani: Djbouti 26, Berbera 144, DSM 312 na Mombasa 326

    Djbouti 26- DP WORLD Berbera 144- DP WORLD, DSM 312- DP WORLD (analetwa), Mombasa 326-wabia wanatafutwa === President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency will give the Port of Mombasa an edge over its biggest competitor, Dares Salaam. The measures include...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya vizuri ila kuna mambo anatakiwa kurekebisha

    Naomba nizungumzie Mama wa Taifa, Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kama nionavyo mimi; 1. Tabia binafsi Mama Samia Suluhu Hassan ameumbwa na hofu ya Mungu, ameumbwa na utashi wakuona baya kwake laweza kuwa baya kwa wengine hivyo hana sababu ya kuhukumu. Ameumbwa na moyo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP World umetufumbua macho

    Habari za Mchana Wazalendo Mliomo jamvini, Kuna vitu ambavyo usipo viangalia kwa makini au kuvipuuzia vinaweza kuleta matokeo ambayo yakawa ni majuto baadae sababu tu ya kudhani uwepo wa mambohayo ni mambo ya kawaida tu. Kuna hii mikataba inayo endelea huku mitaani kwetu ambayo tunaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Mikutano ya Chongolo kutetea mkataba wa bandari kiini macho

    Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho. Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
  16. JamiiForums Tanzania Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

    Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe. Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo, Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
  17. JamiiForums Tanzania Bila kupepesa macho, Wanawake wengi mnaenda gym kujiuza sio kufanya mazoezi

    Wadada mnaenda gym kudanga na sio kufanya mazoezi kule mnaenda kudanga kutafuta watu muwachune hela za pango Kipindi cha gym kujaa ni mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili ndio gym inakuwa na wateja wengi wakike kama uongo mbona ukimpata dango unaacha kufanya mazoezi? Na mkiacha mbona...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora

    MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Makala hii inalenga kuchunguza jukumu la sekta binafsi na asasi za kiraia katika kushirikiana na serikali na...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Macho kuuma mpaka kutoa machozi inasababishwa na nini?

    Hivi macho kuuma, mfano kutoa machozi mpaka jicho moja kuanza kutoona mbali kunasababishwa na nini?
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa. IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…