machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mna deal vipi na machinga wanaoziba duka

    Hali hii ipo miaka nenda rudi, kama mnavyojua machinga hupenda kusogelea sehemu zenye frame nyingi mbaya zaidi wanaweza kuweka biashara inayofanana na yako mbele ya duka lako yani unapigwa block.
  2. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Nimepapenda machinga Complex Dodoma

    Soko lipo mjini kati, daladala zote zinafika na usafiri mwingine upo wa kutosha. Hapa Kuna kitu serikali imefanya.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Machinga waiomba Serikali kuzifuatilia Kampuni za Mikopo

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuzifuatilia taasisi na kampuni za utoaji mikopo kwa Wafanyabiashara kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya udanganyifu ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kandamizi. Hayo yamebainishwa na Wafanyabiashara hao katika Baraza...
  4. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Free WiFi kwenye mwendokasi na masoko ya wamachinga nchi nzima

    “Tutaweka Free WiFi kwenye mabasi ya mwendokasi kwa sababu tunataka watu watumie huduma hiyo, lakini pia nchi nzima kwenye masoko yaliyojengwa ya wamachinga itapelekwa Free WiFi” Ameyasema Wazi wa Habari, Mwasilino na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati wa uzinduzi wa teknolojia ya 5G kwa...
  6. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Machinga Mwanza warudi kwa kasi barabarani

    Wakati serikali mkoani Mwanza ikiwa imetenga maeneo maalumu kwaajili ya Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga kufanya biashara zao, wafanya biashara hao wameanza kurudi kufanya biashara kandokando ya barabara jambo ambalo lilipigwa marufuku na Serikali. Jana nilifanya ziara...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?

    Wakuu, Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

    Wengi watashangazwa na huu uzi. Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita. Tembea uone. Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakosoa Machinga kuondolewa mjini

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) katikati ya mji badala yake serikali inatakiwa kutenga maeneo ambayo yana watu wengi kwa ajili ya kundi hilo kufanya biashara. Katika mkutano uliofanyika jijini Mwanza jana, Kiongozi wa chama...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

    Nimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ). Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka...
  11. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Iringa sakata la machinga kuhamishwa maeneo ya mjini kimenisikitisha

    Machinga niliowaona hapa ni zaidi ya watu elfu tano hii ni wilaya moja tu hivi tunakwenda wapi kama taifa idadi kubwa. Je, Tanzania nzima machinga wangapi? Tuna ardhi nzuri, mito na maziwa nini kifanyike nani wakulaumiwa. Je, wananchi wanashindwa kuzitumia fursa huko zilizopo ama ni serikali...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

    Mtu unajipitia zako mara umeshikwa bega, au unavutwa nguo, mkono au kiuno, dada hii inakutosha au hii itakupendeza kwani huwezi kuniambia nikasikia tukaelewana bila kunigusa? Machinga wa Karikaoo, Karume, Mbezi ya Kimara jumlisha na wale wapiga debe ndo kuzidi kabisa, Mwenge yaani wanakera...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Machinga barabarani

    Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
  14. rajiih

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anajua namna Machinga wanavyopigwa na kuporwa Biashara zao?

    Habari wana JF poleni na Majukumu ya kikazi. Nianze na maada kama kichwa changu hapo juu kinavyosomeka. Nikiwa mmoja wa wahanga katika suala zima la wamachinga nimeona nije mbele yenu pengine jambo hili la Unyanyasaji na lenye kutia hasira, hasara zaidi linaweza komeshwa. Tumekuwa wanyonge...
  15. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Kuondoa machinga halafu kuruhusu ujenzi holela wa vibanda vya biashara sio sawa

    Ni kweli Kariakoo ni sehemu ya biashara hilo halina ubishi, lakini ukweli mwingine pia ni makazi na matumizi ya wengi wapitao njia. Embu pita tu pale Kariakoo uone jinsi nyumba zinavyobadilishwa, vichochoro vyote sasa ni viduka, gorofa zinabadilishwa kutoka makazi kuwa maduka kimya kimya...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tusipopaza sauti, Viongozi wa Machinga Mwanza watadhuriwa mikononi mwa Polisi

    Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwashambulia wachuuzi wa biashara hapo mjini. Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Machinga wasema awamu ya tano hawakusumbuliwa kama sasa

    Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Machinga wachachamaa Mwanza hali ni tete wanarusha mawe kwenye maduka

    Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa. ==== Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa Vitambulisho vya Machinga waanza kukwama nchini

    Utoaji wa vitambulisho vya wamachinga umebaki kizungumkuti kutokana na kutokuwepo kwa taarifa rasmi juu ya kuhuishwa kwake, ikiwa ni miaka tangu vitolewe na Serikali. Desemba 2018, Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli alizindua vitambulisho vya machinga kila mkoa ukikabidhiwa...
  20. Execute

    JamiiForums Tanzania Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
Back
Top Bottom