machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Rais Samia awataka machinga walipe kodi ipasavyo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mipango ya kuboresha mazingira ya kufanyia kazi kwa wafanyabiashara wadogo ikiwemo kuwa na vitambulisho ambavyo vitakuwa na taarifa zote za mfanyabiashara. Amesema ili waendelee kuboresha mazingira ya wamachinga Zaidi ni muhimu machinga walipe kodi kadiri...
  2. Replica

    Ikulu, Dar: Rais Samia aongea na viongozi wa Machinga Dar es Salaam. Machinga Watambuliwa kama kundi Maalum

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo aanaongea na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na viongozi wa wamachinga Ikulu ya Dar es Saam. Kumekuwa na badiliko la sera ya wamachinga karibuni kutoka utawala uliopita kwa 'kupangwa upya' ama kwa wengine kuondolewa na vibanda...
  3. M

    Baadhi ya bidhaa za machinga zifuatiliwe kwa umakini

    Wadau Habari, Niende moja kwa moja kwenye mada, juzi nikiwa kwenye mizunguko ya kutafuta shilingi jijini Dar (coz nowadays siishi Dar) nikapita mtaa mmoja wenye machinga wengi usiku kama saa moja na kidogo hivi. Nikaona jamaa anatangaza, “sabuni sabuni huku jero huku mia saba” sasa...
  4. Mpinzire

    Mikocheni Dar: Machinga wapigana na mgambo

    Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa...
  5. Determinantor

    Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  6. Mpinzire

    Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

    Wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wa soko la Karume (Mchikichini) wameandamana hadi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kushinikiza kiongozi huyo atoe tamko la kuwaruhusu waendelee kufanya shughuli zao kwenye soko hilo. Wafanyabiashara hao wameandamana leo...
  7. U

    Kwanini Karume isijengwe mall ya gorofa 3/4 ya machinga kama Kenya/Uganda?

    Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like. Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa...
  8. J

    Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

    Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume. Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao. Source: East Africa tv Maendeleo hayana vyama!
  9. At Calvary

    Vipi kuhusu suala la Machinga; bado utaratibu unazingatiwa na je, kuna miundombinu wezeshi?

    Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
  10. Merci

    Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  11. Wakusoma 12

    Viongozi wa Wilaya ya Misungwi ni wa ovyo, takribani miezi miwili sasa hawajawaonesha machinga wa Usagara maeneo ya biashara

    Rais sema nao hao, wamevuruga biashara za watu zaidi ya mia mbili wa mji mdogo (kijiji kilichochangamka) wa Usagara na hawajawapa maeneo mbadala ya kufanyia biashara licha ya eneo kuwepo. Takiribani miezi miwili Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri wanaleta danadana tu na...
  12. JAYJAY

    Machinga Wa Feri Poleni Kwa Msiba Mkubwa

    Najua jana katika kulazimisha wapate fedha za kufungia mwaka askari manispaa walivunja godown mnakohifadhi mali zenu na kupora na kuharibu mali na kutaifisha. Kwa kuwa wakati wa tukio mali zilikuwa hazijatolewa wala kupangwa sehemu wanazokatalia msifanye biashara hasa jioni, ni vyema kwa...
  13. At Calvary

    Gazeti la Machinga. Huenda ni kweli kuwa na improved version ya gazeti la Musiba

    Wakuu kwema.? Nimeanza kuamini zile hisia za kwamba gazeti hili ni new version ya gazeti la Musiba. Hii baada ya leo kusikia kuwa wameandika kwamba Polepole hayuko sahihi kuhusu suala la machinga juu ya kile ambacho Polepole juzi kuwahusu. Good morning.
  14. mirindimo

    Neema kwa wamachinga hii hapa! Kila machinga kuondoka na kitita

  15. Mwande na Mndewa

    Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

    Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
  16. F

    Zoezi la kuondoa Machinga limefanikiwa?

    1. Tathmini ya kuondoa Machinga ikoje? 2. Zoezi limefanikiwa? 3. Kama halijafanikiwa kikwazo ni nini? 4. Kama limefanikiwa nini cha kujifunza kwa baadaye? 5. Miji imekuwa misafi sasa? 6. Foleni zimepungua? 7. Wenye maduka wako huru? 8. Mitaa ya katikati ya miji inapitika? 9. Mitaro inaweza...
  17. B

    Machinga wavamia eneo la Kanisa Dar es Salaam

    13 November 2021 MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo maarufu kama wamachinga, ambapo uongozi wa kanisa hilo...
  18. DAVSON

    Uhamishwaji na upangwaji wa machinga unapaswa kutizamwa upya kuna vitu havipo sawa

    Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri. Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno ya katikati tu ya mji. Kwa mfano kwa mwanza sioni ulazima wa kuondoa wamachinga hafi maeneo ya...
  19. S

    Uongozi wa Mbezi Luis utumbuliwe haraka

    Naandika haya wakati vijana wamachinga wakianza kujenga mabanda yao upya pembezoni mwa barabara. Ni ukaidi kwa maelekezo ya Rais. Ni uvunjaji sheria uliopitiliza kwa watu kuonywa na kutolewa eneo husika kwa sababu husika na kukaidi. Je, wamachinga wa maeneo mengine waliotolewa sio wa muhimu...
Back
Top Bottom