Machinga wachachamaa Mwanza hali ni tete wanarusha mawe kwenye maduka

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,899
Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa.


====
Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, katikati ya Jiji la Mwanza.
 
Back
Top Bottom