Analia mke wake kutumiwa ujumbe usiku na mwanaume mwingine, ametudhalilisha wanaume

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,120
11,850
Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume!

Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku.

Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani tunajua malipo yao wakuu, kule watu wanalipwa mpaka 3500 kwa siku.

Sasa jamaa anajitetea anasema kuwa alimpa nauli huyo mwanamke kwahiyo alikuwa anamuuliza kama amefika salama. Mwenye mke analia anasema "hata kama umemsaidia nauli lakini kwanini umsumbue kwa sms, wewe kama umemsaidia inatosha siyo lazima muanze kuchati".

Mimi naona huyu jamaa angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe ila siyo kwenye kadamnasi kiasi hiki. Halafu wakuu tutafute hela, maana inaonekana jamaa mfukoni kweupe mpaka demu anachatishwa usiku kisa nauli ya 600 na kuliwa huyu mwanamke ni uhakika 100%.
 
😅😅😅😅😅 analia kisa demu katmbwa nje au kisa nini???? Atafute mnyonge ammegeeee.

Alisikika muhuni mmoja akisema wanaume wa dar kazi
 
Msichukulie poa.

Jamaa analia kwa hasira na siyo kwamba ameonewa.

Kisaikolojia huyo mtoa nauli achukue tahadhari maana kifo mkononi hapo
 
Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume!

Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku.

Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani tunajua malipo yao wakuu, kule watu wanalipwa mpaka 3500 kwa siku.

Sasa jamaa anajitetea anasema kuwa alimpa nauli huyo mwanamke kwahiyo alikuwa anamuuliza kama amefika salama. Mwenye mke analia anasema "hata kama umemsaidia nauli lakini kwanini umsumbue kwa sms, wewe kama umemsaidia inatosha siyo lazima muanze kuchati"

Mimi naona huyu jamaa angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe ila siyo kwenye kadamnasi kiasi hiki. Halafu wakuu tutafute hela, maana inaonekana jamaa mfukoni kweupe mpaka demu anachatishwa usiku kisa nauli ya 600.

Na kuliwa huyu demu.ni uhakika 100%
Mwanaume ukijiliz ndio kabisa mkeo anakuona Boya na analiwa kwa dharau sana
 
Inawakilisha uwepo wangu JF😂😂😂😂
Halafu wewe ni top member wa JF mwenye point nyingi!
Screenshot_20240214-100219.png
 
Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume!

Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku.

Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani tunajua malipo yao wakuu, kule watu wanalipwa mpaka 3500 kwa siku.

Sasa jamaa anajitetea anasema kuwa alimpa nauli huyo mwanamke kwahiyo alikuwa anamuuliza kama amefika salama. Mwenye mke analia anasema "hata kama umemsaidia nauli lakini kwanini umsumbue kwa sms, wewe kama umemsaidia inatosha siyo lazima muanze kuchati".

Mimi naona huyu jamaa angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe ila siyo kwenye kadamnasi kiasi hiki. Halafu wakuu tutafute hela, maana inaonekana jamaa mfukoni kweupe mpaka demu anachatishwa usiku kisa nauli ya 600 na kuliwa huyu mwanamke ni uhakika 100%.
Usimcheke mtu ifikapo issue ya mapenzi na ndoa.Usithubutu.
 
Back
Top Bottom