mabeberu

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania should account for COVID-19 funds and stop hiding behind the facade of sovereignty

    Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau wetu wa maendeleo wa sasa hivi, wale wengine ni mabeberu

    Nchi ishakua pochi la wachina watu wanyonyaji wadhurumati mfano hai wafanyakazi wao wanawatumikisha viwandani na magodown mzee baba chukulia mfano tu hapo tangu tuwe na ujamaa nao hawa watu tumefaidika na nini nchi yetu hadi leo Tuache masihara anae fanya kazi kwa huyo mnaemuita beberu na...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini nchi za wazungu kila wanapotupa misaada tunawaita wahisani wetu wa maendeleo lakini pale wanapotukosoa tunawaita mabeberu?

    Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu. Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
  4. JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Mabeberu yatupa karata ya mfa maji dhidi ya Rais Magufuli

    Binafsi nimetazama video hii iliyo andaliwa na mabeberu kuchafua taswira ya Tanzania, niseme tu, hii ni karata ya mfa maji. Tazama mwenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

    Wanajamvi, kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa, yale ya binafsi pamoja na chama. Huu ni ushamba mkubwa na wa hatari kabisa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu akiri kuwa mabeberu watafanya lolote kuhakikisha Africa inabakia kuwa masikini

    Hii video imenikasirisha sana. Nimeipost hapa kwa sababu inawahusu Wakenya, Watanzania na Waafrika kwa ujumla. Lazima tufahamu kuwa beberu sio mtu mzuri. Kwenye video beberu anakiri wazi kwamba wao watafanya juu chini kuhakikisha kwamba Africa inabakia kuwa masikini.
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika Uchaguzi huu, WAZALENDO tutawashinda MABEBERU

    Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao. Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?. Tafakari sababu hizi kumi kisha uchague upande wa kuunga mkono...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwe Makini na Hila za Mabeberu, tusije ingia Kingi

    TUWE MAKINI NA HILA ZA MABEBERU, TUSIJEINGIA KINGI Na, Robert Heriel Jana nimekumbuka habari za mabeberu na hila zao, nikashtuka sana, nilikaribia kuwa na hofu, Sikujua hofu ile ilisababishwa na nini. Lakini nikiri kusema, akili yangu inaniambia kuwa Mabeberu wapo inchaji mpaka sasa. Kitabia...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona tunazidi kuwanufaisha mabeberu?

  14. JamiiForums Tanzania Ushuhuda Kuhusu "Njama" za Mabeberu kwa Nchi Maskini

    Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika. https://www.jamiiforums.com/threads/mebeberu-wana-malengo-na-tanzania-waanza-uzushi-wa-fujo-baada-ya-jpm-ccm-kush. Nilitaka nitumie neno wazungu au mataifa ya Magharibi badala ya...
  15. JamiiForums Tanzania Vyama vingi vilikubalika ili kuwaonyesha mabeberu kuwa tuna utawala wenye demokrasia

    Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake walijitoa mhanga katika ukombozi wa bara la Afrika na wamewekeana kiapo na vyama vyote vilivyopugania uhuru...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania sio maskini na IMF ni mabeberu, Magufuli ukatae msaada wao sasa

    Siku ya leo, taasisi ya kimataifa ya fedha duniani (IMF) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwenda kwa nchi 28 maskini zaidi hapa duniani. Katika orodha hiyo, Tanzania imekuwa ni nchi mojawapo. Japokuwa sote tunajua misaada hii haiji hivi hivi, mara zote nchi husika 'hupiga magoti na kuwalamba...
  17. JamiiForums Tanzania IMF yaidhinisha msaada kwa nchi 28 za kipato cha chini, Tanzania ikiwemo

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha msaada wa dharura kwa nchi 28 maskini zaidi ulimwenguni ili kuzisaidia kupunguza madeni na kukabiliana vyema na athari za janga la coronavirus. Tangazo hilo ambalo limekuja baada ya lile la mwezi Aprili lililozilenga nchi 25, linakusudia kuzisaidia...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzanian Opposition Press for Single Presidential Candidate

    Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their most likely flag bearer from campaigning Wakuu kama mnavyojua Bloomberg ni chombo cha habari...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu yuko sahihi - yafaa tujifunze kuishi na "mabeberu"

    Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi. Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…