Video: Mabeberu yatupa karata ya mfa maji dhidi ya Rais Magufuli

Binafsi nimetazama video hii iliyo andaliwa na mabeberu kuchafua taswira ya Tanzania, niseme tu, hii ni karata ya mfa maji. Tazama mwenyewe.

Hivi wazungu wakiitwa mabeberu Waafrika wataitwaje?.Yaani kauli hizi inabidi kuwa nazo makini sana hata kama mtu unamchukia.Binafsi siwezi kuwaita wazungu mabeberu kwasababu ni kujitusi wenyewe.
 
Tupa kule upumvavu wa nyerere

Tundu kawaharibu masikini, hadi wewe wamwita Nyerere mpumbavu😎😎 Nyerere anatukanwa leo ila aliyewakatili waafrika kuwapa ulemavu na kuwaua ndio amekua kimbilio lanu kule ubelgiji...

Ubelgiji ni mikono yenye laana na damu ya mateso ya mwafrika watanzania hatujasahau walichofanyiwa Congo. Kama kungekua na haki kwao wangetakiwa kulipa fidia kubwa sana japo isingerudisha uhai wala kuondoa maumivu ingetoa msamaha

Screenshot_20201118-222615.jpg



Fisi ni fisi tuu hatokaa awe kondoo
 
Back
Top Bottom