Lissu yuko sahihi - yafaa tujifunze kuishi na "mabeberu"

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,206
1,509
Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.

Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.

Jamani, Ijumaa njema 👍🏽👍🏽
 
Achana na Mabeberu, enzi za Commonwealth kutawala East na South Africa kahawa, chai, mkonge, tumbaku, pamba kutoka East na South Africa vilikua na soko zuri duniani. Tulipojiunga na Eastern Block enzi za Cold War, walianza kununua chai na kahawa ya Colombia.
 
Tumeishi na mabeberu miaka yote 60 ya nchi hii,hizi ndio siasa zao wanapoishiwa na hoja,kwa bara “wanataka kuleta mabeberu”na kwa Zanzibar “wanataka kuleta waarabu”
Kutawala miaka 60 so mchezo lazima uishiwe na ulaghai na uanze na vitisho
 
Achana na Mabeberu, enzi za Commonwealth kutawala East na South Africa kahawa, chai, mkonge, tumbaku, pamba kutoka East na South Africa vilikua na soko zuri duniani. Tulipojiunga na Eastern Block enzi za Cold War, walianza kununua chai na kahawa ya Colombia.
Nimegundua mihemuko ya kisiasa inawapoteza njia sahihi ya kutafakari. Sasa mmeishiwa sera kabisa.
 
Watu tunatofautiana kujua vitu vya maana kunena, Mimi nilichoona umenena cha maana ni ile "ijumaa njema"! Hahahahaaah!
 
Wewe unaonekana kama upo timu chibuku na Magufuli 😂
 
  • Thanks
Reactions: ZNM
Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.

Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.

Jamani, Ijumaa njema 👍🏽👍🏽
Mkuu siwezi kuwaunga mkono hata kidogo,
 
jenga urafiki na matajiri uwe tajiri

Halafu umegundua madikteta wanapenda vitu vya mabeberu kuliko sisi watu wa kawaida. Wao na watoto wao hupenda magari, nguo na vinywaji vya kifahari kutoka nchi za magharibi!
 
Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.

Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.

Jamani, Ijumaa njema
Halafu mabeberu wakiwaambukiza ushoga mje hapa kulialia
 
Achana na Mabeberu, enzi za Commonwealth kutawala East na South Africa kahawa, chai, mkonge, tumbaku, pamba kutoka East na South Africa vilikua na soko zuri duniani. Tulipojiunga na Eastern Block enzi za Cold War, walianza kununua chai na kahawa ya Colombia.
Hizo nondo ulizoshuka hapo umenikumbusha History Paper 3,usikute tulikuwa drs moja.
Asante kwa darsa
 
Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.

Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.

Jamani, Ijumaa njema 👍🏽👍🏽
Mimi sijui mabeberu ni Akina nani na nchi wahisani ni zipi
Tafadhali naomba ufafanuzi kwa kuzitaja nchi hizo
 
Halafu mabeberu wakiwaambukiza ushoga mje hapa kulialia
Mtia nia wa ubunge kwa tiketi ya ccm Amer rutty alipoliwa kiboga na bwana wak na mwanaccm james delicious kusambaza video zake kwani walisaidiwa na mabeberu?
 
Amber rutty alitia nia jimbo gani? Acha kufuatilia mambo ya udaku mtoto wa kiume
 
Nchi zote duniani zenye maendeleo Ni zilizo shirikiana na mabeberu, hatuwezi jitenga na dunia hatuwezi endelea kwa kuwa kisiwa. Thus kiongozi wa nchi yafaa atoke kwenye fani ya sheria, economic, diplomasia, biashara hizi fani zinahitaji reasoning capacity na sio claiming capacity Kama hizo fani zingine awajui chochote kuhusu modern world, kuhusu uchumi, kuhusu integration, kuhusu watu na maendeleo thus Wana mawazo ya kizamani sababu awajasoma hivi vitu.
 
Back
Top Bottom