mabeberu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Magharibi tayari yameiona nguvu ya China

    Mataifa ya Magharibi yamo kwenye mfumo wa ushindani na China. Changamoto za ulimwengu zinawalazimisha kuwa washirika zaidi kama Kongamano la Usalama la Munich inavyojaribu kutafuta uwiano wenye manufaa kwa pande zote. Wakati umechaguliwa vyema: Rais Joe Biden wa Marekani anaanza ziara yake...
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mabeberu na Uongozi wa Awamu ya Tano

    Mabeberu nini maana yake halisi: - hili neno liliweza kupata tafsiri yake halisi katika kipindi cha miaka ya sitini late baada ya nchi nyingi za Africa kupata uhuru kutoka katika ukoloni wa nchi za ulaya. Hapa tunaweza kupata picha halisi kipindi ilipoanza sera za imperialism yaani kwa tafsiri...
  4. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mama Maria Nyerere

  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

    Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir? Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi walioeneza propaganda za mabeberu. Je, Ubeberu umekwisha?

    Kuna wasomi walitumia miaka mitano kuwatukana na kuwadhalilisha watu wenye upeo mpana na waliotuzidi maendeleo kwa kuwaita mabeberu. Wasomi hawa walifika wakati wanatuaminisha hata mtanzania mzalendo anayewaza sahihi kuhusu nchi hii anatumiwa na mabeberu. Kauli mbiu ya mabeberu iliwajaa watu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Mababeru

    Habari wana jamvi poleni na kazi, Katika harakati za hapa na pale kuhusu mustakabali wa taifa na mambo yote yanayoendelea ningependa kutoa mtazamo wangu kuhusu hawa watu wanaoitwa '' mababeru''. Ni jambo amabalo lianishangaza sana sana watu huku mitaani pia na kwenye majukwaa ya kisiasa kumekua...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Our beloved late President Magufuli: Was he a science denier or a threat to the Empire?

    While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates. In particular, his efforts towards nationalizing the country’s...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania TZ Trends & Analysis: Hoja 30 za The Economist Kumhusu President Samia. Kuna za Kweli, za Uongo na Uzushi na Kutaka Kumpangia Watakacho Mabeberu, Jee?

    Wanabodi, Salaam, Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis. Kwenye print media ndio...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio mwisho wa kutumia neno "Mabeberu"?

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje. Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lugha zenye kudumaza: Masikini, Wanyonge, Uzalendo na Mabeberu

    Huko nyuma, wale watu waliokutwa na virusi vyenye kusababisha ukimwi au ubakwaji, walikuwa wanaitwa waathirka (victims). Lakini kadri muda unavyoenda imegundulika hizi ni lugha zenye kurudisha watu nyuma na wengine mpaka sasa hivi wanaitwa survivors. Bahati mbaya wanasiasa wa chama hiki tawala...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mipango ovu ya mabeberu: "Afrika lazima ibaki maskini siku zote"

    VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua. Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. John P. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, wala hakuogopa vigingi vya Mabeberu.

    Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa...
  17. mgt software

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, hakuogopa vigingi vya Mabeberu

    Wana Jf Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili ninamaanisha kuwa Kwa Yale mahubiri yake ya kutaka Africa tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

    Hii dhana ya vita vya kiuchumi inachanganya sana. Maana ikiangaliwa kwa upande mmoja watu wengi hudhania kuwa vita hivi huwa vinapiganwa baina ya taifa maskini lenye rasilimali zake dhidi ya mataifa matajiri yenye nia ya kunyonya rasilimali zake. Tafsiri sahihi vita vya kiuchumi ni mikakati au...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna Wanahabari wanafakamia kila kinachosemwa na mabeberu ili kupinga maendeleo

    Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbasi amewataka wahariri na waandishi nchini kuenzi misingi ya weledi na uzalendo katika kazi zao ikiwemo kufanya utafiti kwanza kuliko "kufakamia" mawazo na maoni ya watu wasioitakia nchi mema. "Baadhi ya waandishi hawafanyi utafiti wala kutaka kujua mambo kwa kina...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

    Katika ulimwengu huu uliostaarabika Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli. Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber, Skype , zoom , Microsoft teams nk Hii yote ni kupata...
Back
Top Bottom