mabeberu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

    Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu. Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
  2. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi toka wafuasi wa CCM na viongozi wao - Mabeberu ni kina nani, ni nchi wahisani au wafadhiri?

    Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu. Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu. Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana. Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais...
  5. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Jeshi la Polisi kwa kutumia busara kubwa badala ya nguvu

    Asubuhi nilitoa mada yenye kichwa "Tunasubiri kuona busara ya jeshi la polisi wakati wa kurejea kwa Lissu" Niseme wazi kwa mara ya kwanza jeshi la polisi limetumia busara kubwa kutozuia na kuingilia mapokezi ya Tundu Lissu. Hiki ndicho wengi tulikuwa tuna kitaka. Polisi wakijiweka kando katika...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania UAE hatimaye wapeleka chombo anga za mbali, wanamaanisha nini kwa mabeberu?

    Baada ya miongo kadhaa umoja wa nchi za kiarabu ujulikanao kama UAE umerusha rocket ya kwenda kufanya uchunguzi anga za mbali. Chombo hicho kinafahamika kwa jina la JAXA (Hope probe) kimeondoia kutokea eneo la Tanegashima huko nchini japani, angalia kwenye picha hapa chini pembeni kwa taarifa...
  7. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

    Get short URL FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency When...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

    Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura. Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao. Wamedai waziri mstaafu Prof...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kwao, lawama Tanzania - Mabeberu hawa!

    Mabeberu kazi wanayo. Kila tukipiga chenga wao wanafuata nyayo. Inafikirisha kuwa hata huko Isingiro Uganda mgonjwa wao kwanza aliyepatikana jana, eti naye kapita 'kinyoka nyoka' mpakani akitokea Tanzania kinyume cha utaratibu: ---- The East African region Monday recorded a spike in...
  10. Cicero

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs. Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Sifa 5 za rais wa Mabeberu

    1. Anaishi karibu sana na Mabeberu. 2. Anaenda nchi za Mabeberu. 3. Anategemea uungwaji mkono wa kisiasa na Mabeberu. 4. Anahisi Mabeberu ndio watu wakuleta maendeleo. 5. Siasa zake sio za maendeleo.
  12. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Wakenya walivyoiuza nchi yao kwa mabeberu

    Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe. Sasa sahau...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wagombea Urais Zanzibar wanapaswa kumlazimisha Bashiru awaambie nani kati yao ametumwa na "mabeberu" la sivyo akiri kauli yake ni potofu sana kisiasa

    Mara nyingi nimesema sana humu JF kwamba kuna wakati nazishangaa sana kauli za wanasiasa wetu zinazotolewa kama vile hawana uwezo wa kufikiri. Sasa hili la Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM kupiga kelele mbele ya jumuiya kwamba haelewi kwa nini hadi wakati huo wanachama 12 wajitokeze kugombea uraisi...
  14. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru ashangaa watu 12 kujitokeza kutaka urais Zanzibar, adai wengine wanatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu

    Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais. Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini. Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itajinasuaje kwenye mtego wa mabeberu wanaojitajirisha kwa kutumia COVID-19?

    Kenya imenaswa kwenye mtego wa Corona. Wazungu wameamua kutumia COVID-19 Kama kitega uchumi. Wakikukopesha pesa wanakulazimisha uzitumie kupima COVID-19. Test kits ni za gharama Sana, Wana uhakika wataikamua Kenya kwa miaka mingi ijayo. Mpaka Sasa haijapima hata watu laki nne!. Je, itachukua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

    Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo. Lakini suala hilo la...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Lengo la CCM ni kuifuta CHADEMA. Jeshi la Polisi limeshindwa sasa wanatumia vyombo vingine wasijekosa misaada toka kwa mabeberu kwa kuua demokrasia

    CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima. Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa kuchekesha sana - wakati wa bajeti hizi nchi tunaziita washiriki wetu wa maendeleo, wakitukosoa na kushauri tunawaita mabeberu!

    Lazima kuna kitu hakiko sawa akilini mwa viongozi wetu na mashabiki wengi wa siasa wasio na uwezo mkubwa wa kufikiri kwa makini. Leo nasoma bajeti ya serikali, nakutana na maneno kwamba bajeti yetu pia itategemea msaada kutoka kwa washiriki wetu wa maendeleo (development partners). Sasa mimi...
  19. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

    Habari wana JF Ndugu zangu hizi takwimu zitolewazo na nchi husika mimi naona bado zina ukakasi sio tu kwa Africa hata kwa mabeberu inawezakana vip nchi kama Uingereza na Spain toka ugonjwa uingie huko hakuna aliyepona hata mmoja hii inaingia akilini kweli. Hivi kwenye ugonjwa huu mbona mabeberu...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Mabeberu ni kina nani ,toa maana ya mabeberu

    Anayejua maana ya mabeberu atufundishe nchi,taifa au watu gani?toa maoni yako hapa
Back
Top Bottom