mabeberu

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CORONA VIRUS(COVID_19) Ni mbinu ya CHINA kuzima maandamano ya Hongkong na Alarm kwa Mabeberu juu ya biological warfare ya CHINA.

    Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000 China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mungu wawezeshe mabeberu watimize azima yao maana tumechoka

    Kama yasemwayo kuhusu mabeberu kutaka kusaidia kufanikisha mabadiliko yana ukweli wowote,binafsi naunga mkono kwasababu zifuatazo: Wizi,rushwa ufisadi na kulindana Kikundi hiki cha watu ndio kimetawala hii nchi tangu uhuru na baadhi yao wana tuhuma nyingi za wizi,ufisadi na ubadhirifu wa...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na serikali waziwazodoe na kuwasema mabeberu. CCM ikishinda tena uchaguzi wa 2020 ifanye mambo yake kimyakimya.

    Zile kauli za kwamba "wameichezea sana hii nchi", au "wametunyonya sana" au ziwe ni historia. Mabeberu wote wana tabia kubwa moja, nongwa. Ukisema kitu kimoja hadharani wao wanakirekodi na kukiweka ili kije kuwa ni kumbukumbu juu yako wewe mwenyewe. Hivyo jitihada zote za serikali ya awamu...
  5. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Mabeberu ni Mabeberu tu hata iweje ni Mabeberu na ni Manyonyaji hatari mioyo yao inatuona sisi nyani na Midomo yao inatuhurumia kinafiki

    Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za...
  6. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

    Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu ==== Edit: Azam TV wamei-cover habari hii
  7. ibesa mau

    JamiiForums Tanzania Leo Serikali kulilia fedha za mabeberu, imekwama wapi?

    Serikali kila siku inajidai ina fedha za kutosha, inakusanya mapato mengi kuliko serikali zote, Leo kimewakuta nini hadi kilio kila kona. Ni nashauri tokeni hadharani muwaambie wananchi kwamba Yale mliyokuwa mnajimbwambafai kwa wananchi ilikuwa ni uongo na hadaa. Wachumi walikuwa wanahoji kila...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nani kawashtua mabeberu haraka kiasi hiki?

    Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Wanapotukosoa tunawatukana na kuwaita mabeberu, jina linabadilika na kuwaita wafadhili wetu wa maendeleo mara tu wanapoanza kutugawia pesa!

    Ni tabia iliyozoeleka kwa watawala wetu wa serikali ya awamu ya tano kujihami na kuwaita wazungu wa nchi za nje, kuwa ni mabeberu, wanapokuwa wametukosoa katika uimarishaji wa demokrasia, uhuru wa wananchi kujieleza na tunashauriwa tuzingatie haki za binadamu. Lakini kitu cha ajabu ni pale...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni: Afrika ingeingilia kati na kuisaidia Libya dhidi ya Mataifa ya Magharibi

    Uganda's President Yoweri Museveni is in London this week to attend the UK-Africa Investment Summit 2020. The event was hosted by British Prime Minister Boris Johnson who told the attending 16 African heads of state that the continent is the future of trade and business and that the UK was keen...
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Awali: Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu. Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. UPDATES MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE HOJA SITA ZA...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa JamiiForums awajibu wanaosema anatumiwa na mabeberu, baada ya kuitwa ikulu Marekani

    December 16, 2019 Mwanzilishi wa JamiiForums akizungumzia kuhusu tuzo aliyopewa hivi karibuni na jinsi mtandao huu unavyokabiliana na hali ngumu ya kutenda kazi hasahasa tukiangazia mazingira ya sasa Tanzania. Hofu inajengwana na waandishi wenyewe lakini kama mitandao inafuata sheria na kanuni...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kazi kweli kweli na mabeberu

    Benki ya dunia yasema ukuaji wa uchumi wa Tanzania kuongezeka 2020 japo si kwa 7% Uchumi wa Tanzania utakuwa kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa na makadirio ya asilimia 5.6 mwaka huu na ukuaji utaongezeka hadi asilimi 6.1 mwaka 2021 , kulingana na ripoti ya benki ya dunia siku ya...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Nzega: Rais Magufuli asema Demokrasia imeimarika sana nchini ndio maana wengine walijitoa kwenye uchaguzi, wengine wakashinda na kushindwa

    Aman iwe juu yenu wakuu, Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Repoti ya Tume ya Haki za Binadamu Afrika ikizungumzia Tanzania

    Mabeberu meusi yameingia kwenye vita na Tanzania, vita ya kiuchumi imenoga tunaonewa wivu kila kona hadi na weusi wenzetu, hii inamanisha kwamba tupo pazuri mnooo,haijawahi kutokea tangu uhuru Hii ni ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu Afrika ikiisuta awamu ya tano.
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" na "Sokwe" ni kitu kimoja, wote wanyama!

    Serikali ya awamu ya tano, imerudisha neno beberu lililotumiwa na mwalimu wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika. Baada ya kupata uhuru tukawaita "wakoloni" haijalishi mtu huyo alitutawala ama la. Wakoloni ni " waingereza, reno, Belgiji, Jerumani, Waarabu" MAGUFULI ameanza kuita WAZUNGU...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Swali la kizalendo: Mabeberu ni kina nani?

    Dunia inaenda kwa kasi sana, ukizubaa unaachwa! Wakati wa vita baridi neno Mabeberu lilitumika sana hapa Tanzania. Enzi zile beberu alikuwa ni mtu yoyote asiye mjamaa, mpinga mapinduzi, anayeamini katika soko huria na uliberali. Polepole neno mabeberu lilianza kufifia baada ya kuanguka kwa...
  18. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwa mzalendo liwalo na liwe mabeberu wanatuonea sana nakinukisha

    Mzuka! Yatosha nasema yatosha. Nimeweka tofauti zangu za kiitikadi nakumuunga Jemedari anayetuboreshea maisha yetu na kutupeleka uchumi wa kati. Lakini mabeberu wanataka kumkwamisha. Sitakubali Rais wangu adhalilishwe nitakuwa mzalendodaima. Nakinukisha muda si mrefu na hadi jumatatu ndege yetu...
  19. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

    Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tulivyojengwa kuwachukia mabeberu enzi za chama kushika hatamu

    Enzi zile mitumba iliitwa kafa Ulaya, sehemu pekee uliyoweza kupata kama Ulaya ilikuwa kanisani au kwenye kambi za wakimbizi. Waliokwenda Ulaya na kuloea waliitwa walibezwa. Vijana wachache walioondoka Tanzania ilikuwa ni kwa scholarship au ku store away na meli. Siku hizi majina ya kafa Ulaya...
Back
Top Bottom