Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

The Gojo

Member
Feb 27, 2014
31
11
Habari!

Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao sijaona mantiki yake.

Nataka kufikisha dukuduku langu kwenu waungwana. Kuna suala limenikera sana. Kuna utaratibu wa kulipa ushuru getini haijalishi una ticket ya kielectronic au ya kawaida tangu 29/11/2023. Mbaya zaidi wamepandisha ni Tsh 300 badala ya Tsh 200.

Hii imekaaaje? Reasoning yangu inakataa kuhusu huu utaratibu.

Ni kwamba sasa raia wa nchi hii wanawekewa kodi, tozo na ushuru kila mahali bila hata kujali hali ngumu ya uchumi iliyoko mtaani?Kodi zote ktk madini yanayochombwa karibia nchi nzima na rasilimali zingine hazitoshi kuipatia serikali fedha inayohitaji?

Naomba msaada kuwauliza wahusika ni kwanini wameamua hivi na kusababisha kero na usumbufu kwa wasafiri wengi. Kero hii inasababisha foreni isiyo na sababu na pia abiria wengine wakikosa hiyo 300 wanashindwa kusafiri. Naomba kuwasiilsha
 
Hoja yako nzuri, tatizo 'Uandishi' mbaya. Inatia uvivu kumaliza kulisoma
 
Aione Kwenye File:-
Katibu Uenezi, Itikadi Na Mafunzo CCM
Comrade Paul Christian Makonda

Washa Moto Mwingi, Wapumulie CCM, Pumzi Ya Moto, Wanyime Hewa Washindwe Kupumua
 
Pole mkuu kuna pesa inakusanywa kulipia madeni ya mikopo inayofujwa na first class
 
Habari!

Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao sijaona mantiki yake.

Nataka kufikisha dukuduku langu kwenu waungwana. Kuna suala limenikera sana. Kuna utaratibu wa kulipa ushuru getini haijalishi una ticket ya kielectronic au ya kawaida tangu 29/11/2023. Mbaya zaidi wamepandisha ni Tsh 300 badala ya Tsh 200.

Hii imekaaaje? Reasoning yangu inakataa kuhusu huu utaratibu.

Ni kwamba sasa raia wa nchi hii wanawekewa kodi, tozo na ushuru kila mahali bila hata kujali hali ngumu ya uchumi iliyoko mtaani?Kodi zote ktk madini yanayochombwa karibia nchi nzima na rasilimali zingine hazitoshi kuipatia serikali fedha inayohitaji?

Naomba msaada kuwauliza wahusika ni kwanini wameamua hivi na kusababisha kero na usumbufu kwa wasafiri wengi. Kero hii inasababisha foreni isiyo na sababu na pia abiria wengine wakikosa hiyo 300 wanashindwa kusafiri. Naomba kuwasiilsha
Hizo ndizo wananunulia mabasi na malori unayoyaona yakiongezeka kila kukicha, in short hiyo ndiyo kula kwa urefu wa kamba
 
Huoni kuna kuoneana hapo? Ulipe nauli ya bus ambayo ndani yake kuna ushuru halafu ukiingia stand tena ulipe ushuru getini kwanini?
Nadhani ukionyesha Tiketi mlangoni hutowi hiyo 300,tatizo ABIRIA wanataka wakakatie tiketi kwenye basi ndani,na kumbuka wanaoingia stendi sio wote wasafiri hivyo hilo tozo sawa tu
 
Amesema haijalishi una ticket lakini kuingia getini lazima 300 ulipe
 
Mimi sio MTZ ila nimeangalia exchage rate ya USD to TSHS online. Yaani unaanzisha uzi kwa sababu ya 0.12 USD? Shilingi kumi na nane za Kenya? Kazi ipo.
 
Habari!

Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao sijaona mantiki yake.

Nataka kufikisha dukuduku langu kwenu waungwana. Kuna suala limenikera sana. Kuna utaratibu wa kulipa ushuru getini haijalishi una ticket ya kielectronic au ya kawaida tangu 29/11/2023. Mbaya zaidi wamepandisha ni Tsh 300 badala ya Tsh 200.

Hii imekaaaje? Reasoning yangu inakataa kuhusu huu utaratibu.

Ni kwamba sasa raia wa nchi hii wanawekewa kodi, tozo na ushuru kila mahali bila hata kujali hali ngumu ya uchumi iliyoko mtaani?Kodi zote ktk madini yanayochombwa karibia nchi nzima na rasilimali zingine hazitoshi kuipatia serikali fedha inayohitaji?

Naomba msaada kuwauliza wahusika ni kwanini wameamua hivi na kusababisha kero na usumbufu kwa wasafiri wengi. Kero hii inasababisha foreni isiyo na sababu na pia abiria wengine wakikosa hiyo 300 wanashindwa kusafiri. Naomba kuwasiilsha
Halafu jiulize sasa hizo tozo, na kodi zinafanya kazi gani katika hiyo stendi?

Wanakusanya kodi mwaka mzima bado kodi ya matangazo kwny mabango lakini hata kurekebisha njia za stendi hakuna
 
Back
Top Bottom