Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha.
Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka.
Mabasi mengi kwa Sasa Yana ofisi zao nje ya kituo hicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni pamoja na kukosekana kwa huduma muhimu ndani ya kituo hicho kama vile sehemu za kupumzikia abiria, sehemu za kujificha mvua na jua.
Usalama wa abiria na mizigo Yao n.k
Picha zinakuja